Japan anamteketeza China kwenye derby ya far east

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
9,616
Reaction score
22,521
Japo China hana mpira mkubwa sana lakini hii iko ndani ya Kila mchina kuwa hapendi kupigwa au kupitwa na mjapani Hawa ni washindani wa kudumu
Hapa naangalia namna Japan anampiga china najua viunga vya Beijing na Hong Kong wanchina wanaugulia kwa maumivu
 
Hapa Hong Kong haihusiki. Na wao Wana timu yao na leo imecheza mechi ya kirafiki na wameshinda!
 
China hakuna mpira hawajui iwe Hong-Kong, Taiwan, Macau hata Beijing wapo poor.

Japan na Korea wapo vizuri ukanda huo
Yah ila huwa hawapendi kabisa kupigwa na mjapani heri wafungwe na mtu mwingine
Korea kabanwa mbavu na Palestine (yani watu wako vitani ila bado Korea kakoswa kupigwa pale pale Seoul )
 
Kweli Azam acha TU tuwalipe haka ka 28000 Asia mpira upo SA hii naangalia vijana wa mtume wanakichafua hapa na kamchezo ka kikafiri ni full house
 
Uwanja wa mpira Iraq na Qatar ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œhata vile vya epl na mataifa ya Ulaya hawafikii labda barnabeu
 
China alinunua wachezaji na kulipa mishahara Mikubwa kama Saudia sasa,akaacha baadaye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ