Japan: Dereva wa Treni akabiliwa na adhabu baada ya kwenda kujisaidia

Japan: Dereva wa Treni akabiliwa na adhabu baada ya kwenda kujisaidia

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Dereva wa Treni iliyobeba watu 160 Nchini Japan anakabiliwa na adhabu baada ya kuachia nafasi yake kwa dakika kadhaa ili kwenda kujisaidia

Dereva huyo wa miaka 36 aliumwa tumbo na alihitaji kwenda maliwatoni haraka hivyo alimuita Kondakta asiye na Leseni ya Udereva, na kumuachia treni kwa dakika tatu. Wote wawili wanakabiliwa na adhabu

Reli za Japan zinasimamiwa kwa viwango vya juu vya Usalama na mara ya mwisho ajali kubwa kutokea ilikuwa mwaka 2005 ambapo watu 107 walifariki dunia

=====

A Japanese train driver faces possible punishment after he left the cockpit of a speeding bullet train for several minutes to go to the toilet.

He had asked a conductor, who did not have a driver's licence, to man the train which was travelling at 150km/h (93mph), according to local media.

The Hikari 633 was carrying 160 passengers at the time. The incident reportedly did not affect the journey.

But the railway company has reported it to authorities and apologised.

The Central Japan Railway Company (JR Central) said the incident took place on Sunday morning while the train was travelling in the central Shizuoka prefecture.

The 36-year-old driver, who has not been named, had suffered a stomach ache and needed to use the toilet urgently.

He called in a conductor into the cockpit to man the controls, and then left for about three minutes to use the lavatory in a passenger cabin, JR Central said.

The company's rules state that if drivers feel unwell they must contact their transport command centre. They are also allowed to ask a conductor to take over the controls, but only if the conductor has a driver's licence.

The driver and the conductor now face possible disciplinary action, said JR Central.

Senior official Masahiro Hayatsu told reporters: "It was an extremely inappropriate act. We apologise."

Japan's famously efficient railways are strictly regulated with high safety standards, and rail accidents are rare.

The last major incident happened in 2005 when a train derailed in the western city of Amagasaki, killing 107 people.

The Shinkansen, which is its bullet train network, has never had an accident in its 57-year history.

Source: BBC
 
Nafikiri labda angesimamisha
Sema alichokosea hakutoa taarifa makao makuu Mana Wanasema dereva anapopata udhuru atoe taarifa makao makuu but kusimamisha ndo ingekuwa na hatari zaid Mana kwenye reli humo zinapita tren zaid ya moja zinazoeenda kwa spidi Kali so
Kuwa delayed kwa dkk 3 tu, ni ajari mbaya sana inaweza kutokea
 
Wabongo nyie.
 
Sasa hata kama angetoa taarifa makao makuu wangefanya nini wakati huyo conductor aliyekuwemo kwenye train hiyo hakuwana na leseni?!!na sheria inasema lazima awe na leseni?!!ni kosa la kinidhamu tu
 
Kosa lipo kwenye taasisi inayosimamia usafiri wa reli/treni,kwanini kusiwe na dereva wa akiba mwenye valid driving licence? What if dereva akipatwa na dharula njiani? Akipigwa na heart attack au kizunguzungu cha ghafla itakuaje?
 
Juu Ni Juu Tu
Ingekuwa Tanzania Kangi,Andengenye,Police Wa Madini,DED Kahama Haa Haya Nimewasamehe Ninyi
Msirudie Nadhani Mnamjua Aliyewahi Kuyasema Haya
 
Unalijua vizuri tumbo la kuhara ?
Ukiacha wakwe , cha pili ninachoheshimu ni tumbo la kuhara.
UTANI[emoji23]

We muongo kati ya mkwe na tumbo la kuhara nani unamuheshimu zaidi!?

Kati ya wito wa tumbo la kuhara na wakwe wito upi utauitikia kwanza.. Yaani mkwe akwambie njoo tuonane ama simu yake iingie wakat tumbo la kuhara limekudaka, kipi cha kwanza kutekeleza..

Shikamoo tumbo la kuhara[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom