Japan: Dereva wa Treni akabiliwa na adhabu baada ya kwenda kujisaidia

Japan: Dereva wa Treni akabiliwa na adhabu baada ya kwenda kujisaidia

SGR yetu ikiisha sijui tutakuwa na sheria kama hizo,?
 
Sema alichokosea hakutoa taarifa makao makuu Mana Wanasema dereva anapopata udhuru atoe taarifa makao makuu but kusimamisha ndo ingekuwa na hatari zaid Mana kwenye reli humo zinapita tren zaid ya moja zinazoeenda kwa spidi Kali so
Kuwa delayed kwa dkk 3 tu, ni ajari mbaya sana inaweza kutokea
Hilo ndilo kosa lake.Kwenye hizo treni anayekaa kwenye usukani anaweza kuwa hata hakusoma wala leseni haina ulazima.Anachokifanya huyo dereva ni kitu kidogo tu mfano kubonyeza kitufe ili injini ianze kazi au izime.Treni lenyewe linapeperuka kama upepo.
Umuhimu wa kutoa taarifa makao makuu ni kwamba wao ndio watakaoamrisha treni nyengine zilizo njiani zitakazotumia njia hiyo zisimamishwe kuepuka kugongana.
 
Back
Top Bottom