Japan: Dereva wa Treni akabiliwa na adhabu baada ya kwenda kujisaidia

SGR yetu ikiisha sijui tutakuwa na sheria kama hizo,?
 
Hilo ndilo kosa lake.Kwenye hizo treni anayekaa kwenye usukani anaweza kuwa hata hakusoma wala leseni haina ulazima.Anachokifanya huyo dereva ni kitu kidogo tu mfano kubonyeza kitufe ili injini ianze kazi au izime.Treni lenyewe linapeperuka kama upepo.
Umuhimu wa kutoa taarifa makao makuu ni kwamba wao ndio watakaoamrisha treni nyengine zilizo njiani zitakazotumia njia hiyo zisimamishwe kuepuka kugongana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…