Japan Expo 2025: Tanzania kuwakilishwa na nani?

Japan Expo 2025: Tanzania kuwakilishwa na nani?

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,477
Reaction score
40,278
1. Kama mjuavyo Japan Expo 2025 imeanza toka April 2025. Sisi wazee wa fursa tunawakilishwa na nani huko? Kwenye msafara tusisahau kubeba Korosho, Karafuu na Madera.

2. Bongo movies wasikose kwenye list tafadhali

download (28).jpeg
 
Maonyesho Japan yalifana sana
Mzee Moris na Ngoma zake kumi
....na bendi ya Polisi
.....
...
====
Wasanii kushiriki maonyesho haijAnza leo. Hii ni kwa mujibu wa muziki wa Mbaraka Mwinyishee, kibao Expo 70 Japan.

Hata hivyo, tunatakiwa kuangalia furusa halisi za kuwasaidia Watanzania.
 
Okay
 
Back
Top Bottom