Boutafrica
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 974
- 2,106
Hicho kitu hakitakuja kutokea Labda waumbe maroboti wayavike nyama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wataweza unajazwa deli za kujua haraka na mavyakula ya hivyo Kama kuku...Kama wanaunga mbegu na yai maabara watashindwa hii ...sidhaniHuu mfano wako wa kuku wa kienyeji na kisasa, ni sawasawa tu na mchina anavyozaa na mswahili n.k.hamna jipya sana...
Sema kutengeneza pure binadamu kama sisi..hawawezi na hawataweza: Mwanadamu ni perfect machine - yenye utashi na personal decisions - ni mashine ambayo sio programmed HAKUNA mashine nyingine yoyote inawezakuwa hivyo..
Hata akili mnemba wakati mwingine anajibu kipumbavu mpaka mtu unastuka