Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Japan imezindua shati lenye mfumo wa kupoza mwili (Air-Conditioned Shirt) ili kuwasaidia watu wanaofanya kazi kwenye mazingira yenye joto kali.
Shati hili lina feni ndogo zinazotumia betri na kusukuma hewa ndani ya nguo, hivyo kusaidia kupunguza joto la mwili, kuongeza mzunguko wa hewa na kufanya mtumiaji ajisikie vizuri hata akiwa kazini kwa muda mrefu.
Teknolojia hii imekuwa msaada mkubwa kwa wafanyakazi wa ujenzi, viwandani, mashambani na wengine wanaofanya kazi nje chini ya jua kali.
Hii ni mfano mwingine wa jinsi teknolojia inavyotumika kutatua changamoto za maisha ya kila siku na kulinda afya za watu.