Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Kufua sasa linafuliwaje?? battery inakaa muda gani?? maswali ni mengi kabla hatujafikiri mbaliJapan imezindua shati lenye mfumo wa kupoza mwili (Air-Conditioned Shirt) ili kuwasaidia watu wanaofanya kazi kwenye mazingira yenye joto kali.
Shati hili lina feni ndogo zinazotumia betri na kusukuma hewa ndani ya nguo, hivyo kusaidia kupunguza joto la mwili, kuongeza mzunguko wa hewa na kufanya mtumiaji ajisikie vizuri hata akiwa kazini kwa muda mrefu.
Teknolojia hii imekuwa msaada mkubwa kwa wafanyakazi wa ujenzi, viwandani, mashambani na wengine wanaofanya kazi nje chini ya jua kali.
View attachment 3650012View attachment 3650013View attachment 3650014View attachment 3650015View attachment 3650016View attachment 3650018Hii ni mfano mwingine wa jinsi teknolojia inavyotumika kutatua changamoto za maisha ya kila siku na kulinda afya za watu.
Nadhani ni kama jacket hili, unafuta tu hufuiKufua sasa linafuliwaje?? battery inakaa muda gani?? maswali ni mengi kabla hatujafikiri mbali
Mshati ya watu wa darJapan imezindua shati lenye mfumo wa kupoza mwili (Air-Conditioned Shirt) ili kuwasaidia watu wanaofanya kazi kwenye mazingira yenye joto kali.
Shati hili lina feni ndogo zinazotumia betri na kusukuma hewa ndani ya nguo, hivyo kusaidia kupunguza joto la mwili, kuongeza mzunguko wa hewa na kufanya mtumiaji ajisikie vizuri hata akiwa kazini kwa muda mrefu.
Teknolojia hii imekuwa msaada mkubwa kwa wafanyakazi wa ujenzi, viwandani, mashambani na wengine wanaofanya kazi nje chini ya jua kali.
View attachment 3650012View attachment 3650013View attachment 3650014View attachment 3650015View attachment 3650016View attachment 3650018Hii ni mfano mwingine wa jinsi teknolojia inavyotumika kutatua changamoto za maisha ya kila siku na kulinda afya za watu.
China itajibu kwa kutengeneza suruali yenye choo kwa ndaniJapan imezindua shati lenye mfumo wa kupoza mwili (Air-Conditioned Shirt) ili kuwasaidia watu wanaofanya kazi kwenye mazingira yenye joto kali.
Shati hili lina feni ndogo zinazotumia betri na kusukuma hewa ndani ya nguo, hivyo kusaidia kupunguza joto la mwili, kuongeza mzunguko wa hewa na kufanya mtumiaji ajisikie vizuri hata akiwa kazini kwa muda mrefu.
Teknolojia hii imekuwa msaada mkubwa kwa wafanyakazi wa ujenzi, viwandani, mashambani na wengine wanaofanya kazi nje chini ya jua kali.
View attachment 3650012View attachment 3650013View attachment 3650014View attachment 3650015View attachment 3650016View attachment 3650018Hii ni mfano mwingine wa jinsi teknolojia inavyotumika kutatua changamoto za maisha ya kila siku na kulinda afya za watu.
Sisi bado tupo busy na mabanda ya kuku wa mayai kwa kuweka maranda ili yasipasuke..Japan imezindua shati lenye mfumo wa kupoza mwili (Air-Conditioned Shirt) ili kuwasaidia watu wanaofanya kazi kwenye mazingira yenye joto kali.
Shati hili lina feni ndogo zinazotumia betri na kusukuma hewa ndani ya nguo, hivyo kusaidia kupunguza joto la mwili, kuongeza mzunguko wa hewa na kufanya mtumiaji ajisikie vizuri hata akiwa kazini kwa muda mrefu.
Teknolojia hii imekuwa msaada mkubwa kwa wafanyakazi wa ujenzi, viwandani, mashambani na wengine wanaofanya kazi nje chini ya jua kali.
View attachment 3650012View attachment 3650013View attachment 3650014View attachment 3650015View attachment 3650016View attachment 3650018Hii ni mfano mwingine wa jinsi teknolojia inavyotumika kutatua changamoto za maisha ya kila siku na kulinda afya za watu.
Sisi huku bado hata kujieleza ni nongwa tupu.Ukidai haki tu na kukamatwa ujue aidha utafirwa au kuuwawa.Hayo mashati tutayaona kwenye video.Japan imezindua shati lenye mfumo wa kupoza mwili (Air-Conditioned Shirt) ili kuwasaidia watu wanaofanya kazi kwenye mazingira yenye joto kali.
Shati hili lina feni ndogo zinazotumia betri na kusukuma hewa ndani ya nguo, hivyo kusaidia kupunguza joto la mwili, kuongeza mzunguko wa hewa na kufanya mtumiaji ajisikie vizuri hata akiwa kazini kwa muda mrefu.
Teknolojia hii imekuwa msaada mkubwa kwa wafanyakazi wa ujenzi, viwandani, mashambani na wengine wanaofanya kazi nje chini ya jua kali.
View attachment 3650012View attachment 3650013View attachment 3650014View attachment 3650015View attachment 3650016View attachment 3650018Hii ni mfano mwingine wa jinsi teknolojia inavyotumika kutatua changamoto za maisha ya kila siku na kulinda afya za watu.
Huwezi kuwasikia wana fadhili haya masomoJapan imezindua shati lenye mfumo wa kupoza mwili (Air-Conditioned Shirt) ili kuwasaidia watu wanaofanya kazi kwenye mazingira yenye joto kali.
Shati hili lina feni ndogo zinazotumia betri na kusukuma hewa ndani ya nguo, hivyo kusaidia kupunguza joto la mwili, kuongeza mzunguko wa hewa na kufanya mtumiaji ajisikie vizuri hata akiwa kazini kwa muda mrefu.
Teknolojia hii imekuwa msaada mkubwa kwa wafanyakazi wa ujenzi, viwandani, mashambani na wengine wanaofanya kazi nje chini ya jua kali.
View attachment 3650012View attachment 3650013View attachment 3650014View attachment 3650015View attachment 3650016View attachment 3650018Hii ni mfano mwingine wa jinsi teknolojia inavyotumika kutatua changamoto za maisha ya kila siku na kulinda afya za watu.
Mbona hiyo ipo hata hapa Malampaka?Ukinywa boha na kuzidiwa unaruhusiwa "kuji-help" ndani kwa ndani.Inaitwa "kanyelamumo"!China itajibu kwa kutengeneza suruali yenye choo kwa ndani
China atakuja kumtawala Mjapani alipe kisasiChina itajibu kwa kutengeneza suruali yenye choo kwa ndani
Labda waseme hivyoNadhani ni kama jacket hili, unafuta tu hufui