Japan: Kijiji chafurahia ujio wa mtoto wa kwanza baada ya miongo miwili

Japan: Kijiji chafurahia ujio wa mtoto wa kwanza baada ya miongo miwili

Joined
Sep 24, 2024
Posts
13
Reaction score
28
Kijiji cha Ichinono nchini Japani, chenye wakazi chini ya 60, kimefurahia ujio wa mtoto wa kwanza baada ya miongo miwili, Kuranosuke Kato mwenye umri wa miaka miwili.

Hiki ni mojawapo ya vijiji zaidi ya 20,000 nchini Japani ambavyo idadi kubwa ya wakazi ni wazee wenye umri wa miaka 65 na zaidi, hali inayoakisi tatizo la kitaifa la viwango vya chini vya uzazi.

Soma pia:

Waziri Mkuu Shigeru Ishiba, akiwa kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu, ameahidi kulifufua eneo hili na mengineyo ya vijijini kama sehemu ya juhudi zake za kukabiliana na changamoto hii ya demografia, ambayo ameieleza kama “dharura ya kimya.”


Mquin.png

Katika kijiji cha Ichinono, utulivu unatawala, huku wakazi wakitengeneza midoli mikubwa ya kuchezea yenye sura za watu ili kuleta hisia ya kijiji kilicho na uhai, licha ya ukweli wa kupungua kwa watu kijijini hapo.

Source: Times Of India
 
Kwamba wajapan wa kijiji hicho hawapelekeani moto, mbona miaka 65 mtu ana nguvu za kucheza zebene?
 
Back
Top Bottom