Japan kulipa $536 Million kwa makampuni yake 56 yahame kutoka China, yarudi nyumbani au nchi nyingine za Asia

Rejea maandishi yangu.
Kijana kutoka "KOGELO" alituwakilisha vizuri uzunguni.
Tuonyeshe angalau mfano wa kina Colin Powell wawe jeshini uchinani!!

Wazungu wana utu japo kwa mbaali.
Hakuna mtu anaekosa utu moja kwamoja
 
Kuna kitu cha kujifunza kwenye hii nukuu.
 
Ndiyo Japan wameshaanza mkakati wa kutoa incentives kwa makampuni yao yaondoke China na Nchi za magharibi zikifanya hivyo China kwisha kazi kwani unemployment rate will shoot to double digits .

Ndiyo Japan wameshaanza mkakati wa kutoa incentives kwa makampuni yao yaondoke China na Nchi za magharibi zikifanya hivyo China kwisha kazi kwani unemployment rate will shoot to double digits .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unadhani kufanya hivyo kma kulala nakuamka ?!

Wakithubutu kufanya unistue MKUU
 
Acha mjapan arudi kwenye biashara tumechoshwa na vitu fake vya China
TV Fridge kila kitu ni fake vya kutoka China
 
Acha mjapan arudi kwenye biashara tumechoshwa na vitu fake vya China
TV Fridge kila kitu ni fake vya kutoka China
Sio kwamba we ndo unanunua vitu bei rahisi, na wafanye biashara wanatuletea vitu bei rahisi, the entire world ukosi vitu vilivyotengenezwa na mchina na watu wanatumia na viko na standards with high quality
 
Kwani hii article inahusu nini? Unadhani Serikali ya Wajapan ni wapuuzi mpaka waamue hivyo? Eti wewe unajua kuliko Serikali ya Japan 😂😂😂😂😂😂 watu wengine kwa KUJIKWEZA!!!! Hahahahaha

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unadhani kufanya hivyo kma kulala nakuamka ?!

Wakithubutu kufanya unistue MKUU
 
Ujamaa wahapo nchini kwenu unawahusu nini WACHINA maana wao WACHINA ujamaa unaoukataa wewe wao umewasaidia ila hapo nchini kwako kwan bado kuna ujamaa ?!
Ungewasaidia huo ujamaa wangekuja Africa kuuza karanga na kufanya dhulma ?unafahamu kuna wachina wanakuja hapa hata hela ya work permits wanashindwa ku afford? utasema huyo mtu kwao yupo njema?
Akiwa Africa mchina ana practise ubepari sio ujamaa , unalijua hill?

Silicon inatoka kongo na mteja mkuu ni USA umewashawahi kumuona mmarekani huko kongo
 
Kwani hii article inahusu nini? Unadhani Serikali ya Wajapan ni wapuuzi mpaka waamue hivyo? Eti wewe unajua kuliko Serikali ya Japan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wengine kwa KUJIKWEZA!!!! Hahahahaha
Tatizo lake ana mahaba hadi anasahau facts
 
Reactions: BAK
Get exposed dude , mchina hana technology inayosimama kwa nguvu zake , zote ni copy na zina mizizi ya wamarekani na ujerumani
 
Get exposed dude , mchina hana technology inayosimama kwa nguvu zake , zote ni copy na zina mizizi ya wamarekani na ujerumani
5G kaiba wap ?!

Hata Huyo US teknolojia zilizomfikisha hapo nikopi ya GERMAN na UK

Sent using My COVID-19
 
Hao ambao hawaendi Afrika kuuza hayo mahindi mbna wapo kwao huko wanaomba omba ?!

Wanaomba omba kinyama mpaka wakiomba omba maana yake nini ?!

Sent using My COVID-19
 
Kwani hii article inahusu nini? Unadhani Serikali ya Wajapan ni wapuuzi mpaka waamue hivyo? Eti wewe unajua kuliko Serikali ya Japan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wengine kwa KUJIKWEZA!!!! Hahahahaha
Wangekua wanajua wasingeyaruhusu hayo mashirika kutoka JAPAN kwenda kuwekeza UCHINA

Kama walishindwa kulijua hili wanashindwa kushindwa kujua kipi tena ?!

Sent using My COVID-19
 
Acha mjapan arudi kwenye biashara tumechoshwa na vitu fake vya China
TV Fridge kila kitu ni fake vya kutoka China
Kilichomsababisha akatoka kilikua kipi eti ?1

Sent using My COVID-19
 
Kama Serikali yao iliwaruhusu waende kuinvest huko na sasa wamegundua ilikuwa ni makosa makubwa what is your problem for Government of Japan to use huge amount of incentives to change their previous decision!? 😳😳😳

Wangekua wanajua wasingeyaruhusu hayo mashirika kutoka JAPAN kwenda kuwekeza UCHINA

Kama walishindwa kulijua hili wanashindwa kushindwa kujua kipi tena ?!

Sent using My COVID-19
 
Wangekua wanajua wasingeyaruhusu hayo mashirika kutoka JAPAN kwenda kuwekeza UCHINA

Kama walishindwa kulijua hili wanashindwa kushindwa kujua kipi tena ?!

Sent using My COVID-19
unafahamu china ilizalisha masikini wengi ndio sababu makampun mengi yalipeleka viwanda huko kwa sababu ya cheap labour?
 
unafahamu china ilizalisha masikini wengi ndio sababu makampun mengi yalipeleka viwanda huko kwa sababu ya cheap labour?
Yah nikweli kabisa ilizalisha(unaujua wakat gani huo) nasasa hv unajua tunaongelea wakati gani ?!

Nahivyo viwanda vilivyopelekwa huko ndio vilichochea maendeleo ya UCHINA nandio vilichochea kuondoka ama kupungua kwahao maskini

Kwani sasa hivi JAPAN wanataka warejeshe viwanda vyao kwao kwasababu wanamaskini wengi ama kwasababu gani ?!
 
Kama Serikali yao iliwaruhusu waende kuinvest huko na sasa wamegundua ilikuwa ni makosa makubwa what is your problem for Government of Japan to use huge amount of incentives to change their previous decision!? [emoji15][emoji15][emoji15]
Nilitaka nikuonyeshe tu kama hata wao pia kuna muda wanakua hawana akili nandio maana wanafanya maamuzi yakipumbavu kama hayo waliyoyafanya yakupeleka makampuni yao huko UCHINA kwenda kuwatajirisha wenzao

Sio kosa wanalolifanya ila walikua hawana akili nandio maana wakawanufaisha WACHINA kwamikono yao

Halafu sasa hv unawaona wana akili...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…