Japan ni magari pekee?

Japan ni magari pekee?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Japan ina viwanda vingi, vya magari vikiwemo.

Lakini bidhaa za Japan zinazoletwa sana nchini ni magari na, pengine, spea za magari.

Kwa nini baidhaa zingine za Japan si maarufu nchini?

Au kumepangwa kuwe hivyo, kwamba kwa magari Mjapan awe "supplier" wa Tanzania na bidhaa zingine awe Mchina?
 
Magari ya Japan ni affordable kwa nchi zetu za dunia ya tatu, hasa Toyota. Ila kuna Suzuki, Nissan, Honda n.k tofauti na magari ya kutoka barani Ulaya na America

Kampuni zingine za Japan zilizouza bidhaa sana hapa nchini ni pamoja na Redio na TV za Panasonic na Sony
 
Japan ina viwanda vingi, vya magari vikiwemo.

Lakini bidhaa za Japan zinazoletwa sana nchini ni magari na, pengine, spea za magari.

Kwa nini baidhaa zingine za Japan si maarufu nchini?

Au kumepangwa kuwe hivyo, kwamba kwa magari Mjapan awe "supplier" wa Tanzania na bidhaa zingine awe Mchina?
Umesahau bidhaa za kielektroniki wapo juu sana..!!
 
Magari ya Japan ni affordable kwa nchi zetu za dunia ya tatu, hasa Toyota. Ila kuna Suzuki, Nissan, Honda n.k tofauti na magari ya kutoka barani Ulaya na America

Kampuni zingine zilizouza bidhaa sana hapa nchini ni pamoja na Redio na TV za Panasonic na Sony
Kwa sasa hali ikoje? Naona kama vile ukiacha magari, bidhaa zingine karibia zote Mchina ndiye anayelilisha soko la Tanzania.
 
Nafikiri hizo bidhaa ziliwika sana siku za nyuma. Siku hizi hazivumi tena, kama sikosei!
China waleta vitu vya bei rahisi zaidi ndio maana bidhaa za japan ambazo ni imara na ghali zaidi, soko lake lipo chini kwa Tanzania, yaan namaanisha kupenda kwetu vitu vya bei rahisi kumesababisha soko la bidhaa za japani kushuka.
 
🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom