GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Umesahau bidhaa za kielektroniki wapo juu sana..!!Japan ina viwanda vingi, vya magari vikiwemo.
Lakini bidhaa za Japan zinazoletwa sana nchini ni magari na, pengine, spea za magari.
Kwa nini baidhaa zingine za Japan si maarufu nchini?
Au kumepangwa kuwe hivyo, kwamba kwa magari Mjapan awe "supplier" wa Tanzania na bidhaa zingine awe Mchina?
Kwa sasa hali ikoje? Naona kama vile ukiacha magari, bidhaa zingine karibia zote Mchina ndiye anayelilisha soko la Tanzania.Magari ya Japan ni affordable kwa nchi zetu za dunia ya tatu, hasa Toyota. Ila kuna Suzuki, Nissan, Honda n.k tofauti na magari ya kutoka barani Ulaya na America
Kampuni zingine zilizouza bidhaa sana hapa nchini ni pamoja na Redio na TV za Panasonic na Sony
Vipoje hivyo vyakula vyao?Umewahi jaribu vyakula vya kijapan? Waache walete magari na electronics tu. Maana siku wakileta vyakula vyao ..
We Rachel P weweee..!!!Umewahi jaribu vyakula vya kijapan? Waache walete magari na electronics tu. Maana siku wakileta vyakula vyao ..
Nafikiri hizo bidhaa ziliwika sana siku za nyuma. Siku hizi hazivumi tena, kama sikosei!Pikipiki( yahama/ Honda
Electronic (Sony,Panasonic Hitachi.
China waleta vitu vya bei rahisi zaidi ndio maana bidhaa za japan ambazo ni imara na ghali zaidi, soko lake lipo chini kwa Tanzania, yaan namaanisha kupenda kwetu vitu vya bei rahisi kumesababisha soko la bidhaa za japani kushuka.Nafikiri hizo bidhaa ziliwika sana siku za nyuma. Siku hizi hazivumi tena, kama sikosei!
Mbona kama "hazivumi" nchini? Huoni kila kona imekamatwa na Mchina?Umesahau bidhaa za kielektroniki wapo juu sana..!!
Kitu gani hicho mkuu?Anime na Manga ni burudani maarufu sana zinazotoka Japan.
πππChina waleta vitu vya bei rahisi zaidi ndio maana bidhaa za japan ambazo ni imara na ghali zaidi, soko lake lipo chini kwa Tanzania, yaan namaanisha kupenda kwetu vitu vya bei rahisi kumesababisha soko la bidhaa za japani kushuka.
vikatuni flaniKitu gani hicho mkuu?
πππvikatuni flani
Leo Levelling Solo inarushwa hewanAnime na Manga ni burudani maarufu sana zinazotoka Japan.
Nafikiri bidhaa nyingi za Mjapan ni bora kuliko za Mchina, lakini Mchina kaliteka kwa sehemu kubwa soko la Tanzania.Electronics wako vizuri sana.