Japan promises won’t abandon Uganda over law

If all africa could be one. Our voice would be heard all over.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk

Hata hilo neno atheist wamekufundisha wao! Hivyo wakimsikia Mtu kama wewe unaongea na kuwaponda wanakudharau tu, na kukutafutia ndizi wakutupie!

Kumfundisha mtu isiwe sababu ya kumtawala kwani ww umefundishwa na walimu wangapi na wingapi wanakuamlia vitu vyakufanya? Kumbuka mwalimu ni njia tu anaweza kukufundisha lkn baadaye ukamzidi utashi
 
Ungeelewa kwa nini nilimjibu jinsi nilivyomjibu labda ungeelewa! Yeye anawahukumu watu wengine na Maisha yao na ndio mimi nikamwambia hata hilo neno atheist wamekufundisha hao hao Wazungu unaowahukumu!

Ndio, kama Mtu kakufundisha kila kila kwa nini asikutawale? Sio ndio ukweli wenyewe? Kwani Wazungu hawatutawali? Mbona hawawalazimishi Wachina kukubali huo ushoga? Si ni kwa sababu wamekataa kutawaliwa?
 
Bt me naona sababu kubwa ya western economies kututawala ni nguvu ya pesa,vitu vingine hivi ni subsidiary tu.
 
Na power ya pesa inajulikana mkuu , dunia nzima inaheshim pesa,, kama hatuwezi kuwa na pesa ya kutosha basi tunajitia kitanzi wenyewe .. kwa hiyo suala la msingi ni kujisimamia kiuchumi mambo ya kuletewa ushoga yatajiondoa yenyewe ..
 
True kabisa coz tukumbuke pia kama sisi tungekuwa na nguvu ya kipesa km yao na km wao wangekuwa km sisi na km tamaduni yetu ingekuwa kuupinga ushoga na km wao wangetaka kuestablish ushoga tungewakataza na huenda wangetii, kwaiyo pesa ina nguvu ya kutawala mtu/nchi tuamke watanzania tujenge uchumi wetu
 
Haki kwa mashoga la sivyo mtakula mizizi na div 5 zitaongezeka...mashoga oyeeeee!

Kwa hiyo na wewe ni shoga Au??? Najua Mungu hakuumba Adam and Adam and Eva und Eva but aliumba Adam and Eva.. Na kama Mungu angefanya kinyume chake hata wewe wewe shoga or wewe Msagaji usingezaliwa.. Tuache kuiga or kufuata tamaduni za watu wasiomjua Mungu ..
 
If all africa could be one. Our voice would be heard all over.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk

You mean United States of Africa? Sidhani kama kuna kiongozi yeyote wa Africa ataongea hayo baada ya Gaddafi.
Viongozi wa kiafrica na manafiki mno, kutwa kujipendekeza wakati sisi tuna mali ghafi ya kutufanya tuwe kiburi.
 
Wazungu wanatumia shida zetu kutuletea mambo ya ajabu, hapo ndipo tunakumbuka swala la kujitegemea.
 
Back
Top Bottom