Japan, the most sexless nation. Karibia nusu ya wanawake wenye miaka 34 ni mabikira

Japan, the most sexless nation. Karibia nusu ya wanawake wenye miaka 34 ni mabikira

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Japan ndiyo nchi ambayo watu wake hawapendi ngono zaidi hapa duniani. Nusu ya wanawake wenye umri wa miaka 34 ni mabikra, na kwa upande wa wanaume wenye umri huo ambao ni mabikra ni 43% .

Kwa wastani mjapan hufanya ngono mara 45 tu kwa mwaka ikilinganishwa na Ugiriki ambako watu wake (wapenda ngono zaidi duniani) hufanya ngono mara 240 kwa mwaka.

Sababu za wajapan kutopenda ngono zinatajwa kuwa ni pamoja na:-
..ugumu wa maisha
..ubize (wajapan wanapiga kazi Sana) kutafuta hela
..mtazamo wa jamii juu ya ngono na kungonoka. Japan hakuna anayethubutu kuongelea ama kuashiria mambo ya ngono hadharani. Siyo kama hapa bongo.
Screenshot_20201230-104654.png
 
Back
Top Bottom