Japan, the most sexless nation. Karibia nusu ya wanawake wenye miaka 34 ni mabikira

Sasa wanaanzaje kupenda ngono wakati hakuna wanaume uko. Yani wanaume wao hawana tofaut na wanawake. Wamelegea wote hata kuliko wanawake wa hapa bongo.
 
Huku Tz uchawi maji tu.. Inaoshwa tu na inakuwa kama bikra ya Japan
 
Mbona tena tunaambiwa ndiyo wachapa kazi kuliko watu wengine wote duniani? Sasa hiyo kazi wanaichapa vipi kqma walegevu?
 
Huku Tz uchawi maji tu.. Inaoshwa tu na inakuwa kama bikra ya Japan
Shabu, ndimu, tangawizi na mkojo wa punda mazee, ukimwagia kunako mahala, bikra ya mtoto wa darasa la kwanza inasubiri
 
Mara maisha magumu, Mara wako busy wanatafuta sana pesa.

Jibu ni lipi sasa.
 
Japan ndiyo nchi ambayo watu wake hawapendi ngono zaidi hapa duniani. Nusu ya wanawake wenye umri wa miaka 34 ni mabikra, na kwa upande wa wanaume wenye umri huo ambao ni mabikra ni 43% .

Kwa wastani mjapan hufanya ngono mara 45 tu kwa mwaka ikilinganishwa na Ugiriki ambako watu wake (wapenda ngono zaidi duniani) hufanya ngono mara 240 kwa mwaka.

Sababu za wajapan kutopenda ngono zinatajwa kuwa ni pamoja na:-
..ugumu wa maisha
..ubize (wajapan wanapiga kazi Sana) kutafuta hela
..mtazamo wa jamii juu ya ngono na kungonoka. Japan hakuna anayethubutu kuongelea ama kuashiria mambo ya ngono hadharani. Siyo kama hapa bongo.
View attachment 1662758
Japan wana sikukuu ya kusherehekea mboo.

Wanabeba vitu vikubwa vilivyotengenezwa kama mboo mitaani.

Wanawake wakubwa kwa wadogo wanazibusu hizo mboo hadharani.

Kwa hiyo si kweli kwamba hawapendi kujadili au kuashiria mambo ya ngono hadharani.

Sikukuu hii inaitwa Kanamara Matsuri.

Soma zaidi kuanzia hapa Kanamara Matsuri - Wikipedia
 
Basi ubikra wao siyo bure, itakuwa unasababisha na uhaba wa mboo.

Japo ni taifa linaloongozwa kwa kuwa na viwanda vikubwa vya sex toys
 
Japan ndiyo nchi ambayo watu wake hawapendi ngono zaidi hapa duniani. Nusu ya wanawake wenye umri wa miaka 34 ni mabikra, na kwa upande wa wanaume wenye umri huo ambao ni mabikra ni 43% .

Kwa wastani mjapan hufanya ngono mara 45 tu kwa mwaka ikilinganishwa na Ugiriki ambako watu wake (wapenda ngono zaidi duniani) hufanya ngono mara 240 kwa mwaka.

Sababu za wajapan kutopenda ngono zinatajwa kuwa ni pamoja na:-
..ugumu wa maisha
..ubize (wajapan wanapiga kazi Sana) kutafuta hela
..mtazamo wa jamii juu ya ngono na kungonoka. Japan hakuna anayethubutu kuongelea ama kuashiria mambo ya ngono hadharani. Siyo kama hapa bongo.
View attachment 1662758
Wasichana wa huko wanavivutio?
 
Na ni nchi inayo ongoza kuwa na wapiga punyeto duniani na wanawake wanaojisaidia na matunda pamoja na sex toys.
 
Back
Top Bottom