Japan wanaenda kuishangaza dunia Kwa kubeba world cup 2026...Huu ni utabiri wangu

Japan wanaenda kuishangaza dunia Kwa kubeba world cup 2026...Huu ni utabiri wangu

PureView zeiss

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
14,521
Reaction score
46,663
Japan ndiyo timu ambayo itaenda kuishangaza dunia Kwa mara ya Kwanza usiku wa July 19 Kwa kubeba world cup.
Nimeangalia mechi Yao moja Tu waliocheza na uholanzi nikapata jibu kuwa hawa jamaa wanaenda kubeba ndoo

World cup ya mwaka huu haina mwenyewe zaidi ya Japan Tu....najua mada hii itapata Kiki ya Hali ya juu baada ya hii timu yangu pendwa kutwaa ubingwa
 
Historia inaonesha Ulaya na Amerika ya Kusini ndiyo wamiliki wa hilo kombe. Hivyo hakuna muujiza unaoweza kutokea kwa sasa. Labda tusubiri miaka ijayo
 
Back
Top Bottom