Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Mwishowe mtaja olewa sasa hivyo,kwa mwendo huo,yaani kila kitu Oman wawaletee tu nyie mkalishe kitako Ivyooo!,Mshukuru muumba mmekingwa na balaa kubwa.Hapa nakuunga mkongo. Ukiwauliza wanaoulinda huo muungano umeleta faida gani hawana majibu. Umaskini Zanzibar umezidi. Zanzibar ingeungana na nchi mama yao Oman leo hii Zanzibar ingekuwa kama Muscat. Utajiri wa mafuta ungechuruzika mpaka kufika Zanzibar. Makosa ni kuungana na nchi fukara iliyoitwa Tanganyaika iliyojaa watu wenye ukabila, ukanda, udini, ubaguzi, ufukara wamebaki kuirudisha nyuma Zanzibar na siasa chakavu.
#FreeZanzibar
Hoja zako zipo wapi?Hoja zako zipo wapi?
Je, Zanzibar wana Bajeti ya Ulinzi , Mambo ya ndani, nje, Wizara za muungano na taasisi zake?
Je, mikopo inayochukua ambayo si tatizo, watarudisha kwa utaratibu gani?
Ikiwa hawawezi kumalizana na Tanesco, mabilioni wanayokopa nani atakayelipa? Mtanganyika!
Tunasema, wakati umefika turudi rasimu ya Warioba ya mambo 7 . Tanganyika isimame na kujisimamia na Zanzibar nayo ijisimamie ikakope mtrilioni kadri inavyoweza.
Na kwenye kulipa zanziba watalipa walichochukuwa au inakuaje???Serikali ya Japan imeipatia Tanzania mkopo wa shillingi billion 761.8 kwaajili ya utekelezaji wa miradi mbali mbali ya maendeleo nchini!
Katika mkopo huo kisiwa cha Zanziba kimepewa mgao wa Tsh billion 218+
Kazi iendelee...
=====
View attachment 2108391
Serikali ya Tanzania na Japan zimesaini mikataba mitatu ya mkopo na msaada yenye thamani ya Yen za Japan bilioni 37.9 sawa na takriban shilingi bilioni 761.8 kwa ajili ya kutekeleza miradi ya ukarabati wa Bandari ya Kigoma, uboreshaji wa miundombinu ya maji Zanzibar na Ujenzi wa Barabara ya Arusha-Holili.
Mikataba hiyo imesainiwa jijini Dar es Salaam, kati ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Emmanuel Tutuba kwa niaba ya Serikali ya Tanzania na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Mhe. Shinichi Goto pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan, Bw. Naofumi Yamamura, kwa naiaba ya Serikali ya Japan.
Akizungumza katika hafla fupi ya kusaini mikataba hiyo, Bw. Tutuba alisema kuwa Mradi wa ukarabati wa Bandari ya Kigoma utatekelezwa kwa msaada wa Yen za Japan bilioni 2.73 sawa na takriban shilingi bilioni 54.79, ukihusisha Ukarabati wa gati za mashariki na kaskazini mwa Bandari ya Kigoma, ukarabati wa majengo ya kushushia abiria na mizigo, ukarabati wa barabara zilizopo katika Bandari hiyo na ujenzi wa majengo mapya ya abiria na mizigo.
“Bandari ya Kigoma ilijengwa katika kipindi cha mwaka 1912–1927 na imekuwa bandari muhimu katika kusafirisha mizigo na abiria kwenda nchi jirani za Burundi, DR Congo, Zambia na mikoa iliyopakana na Kigoma, hivyo kukamilika kwa utekelezaji wa mradi huo kutachangia kuongeza ufanisi wa Bandari, kutoa fursa za ajira, kupanua wigo wa ukusanyaji wa mapato ya Serikali, kuchochea shughuli za kiuchumi na kuchochea biashara kati ya Tanzania na nchi hizo jirani” alisema Bw. Tutuba
Alisema kuwa Mradi wa Uboreshaji wa Miundombinu ya Maji Zanzibar, utatekelezwa kwa mkopo wa masharti nafuu wa kiasi cha Yen za Japan bilioni 10.86 sawa na takriban shilingi bilioni 218.382 ambapo mradi huo utahusisha kujenga na kukarabati miundombinu ya maji Mjini Zanzibar.
Watoto waharam hua ndivyo mlivyobakizeni machogo yenu hukohuko bara, mna vichwa kama Thierry Henry nchi nzima, nyie watu gani?
Wewe fala mtwana, mpumbavu usiye na akili kama wazanzibar wenzako nyamaza KIMYA. Mnaweza nini ninyi mabasha watupu huko mnanuka wapumbavu ninyi. Wewe kichwa chako kikoje wewe mtumwa mwenye bwana wa kiarabu.bakizeni machogo yenu hukohuko bara, mna vichwa kama Thierry Henry nchi nzima, nyie watu gani?
Kwani huu Muungano sisi tunaung'ang'ania una faida gani na sisi, kidhati kabisa mie sioni faida kwetu kwenye huu muungano, halafu kibaya zaidi ni sisi ndio tunafosi, wazanzibar wakitaka nchi yao inakuwa msala.
Nini kimeizuia Comoro kuwa kama Dubai?Na infact Zanzibar kama visiwa vingine ingeshakuwa kama Dubai kitambo Sana ni vile Bara ndio wanaizuia..
Visiwa Maskini hapa Duniani ni Zanzibar na Commoros ila wakikaa peke yao Utalii wote ni Zanzibar.
Kweli kabisaBila katiba mpya mtarajie zaidi ya hayo. From Chato to Zanzibar.
Na iwe hivyo. Kwa nini kaka mkubwa akope na mdogo ale tu bila kulipa?Inayokopa ni Tanzania.
Inayolipa au kutakiwa kulipa ni Tanzania hiyo hiyo.
Hakuna sehemu Tanganyika au Zanzibar inalipa au itatakuwa kulipa madeni yaliyokopwa na TANZANIA.
Mkitaka kuhuisha hizo ndogo zenu kwanza vunjeni Muungano kila nchi iwe huru, halafu kama mnaona bado Muungano mnauhitaji anzisheni shirikisho full stop
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Anaekopa hapo ni baba sio Kaka mkubwa.Na iwe hivyo. Kwa nini kaka mkubwa akope na mdogo ale tu bila kulipa?
Hadi kufika 2025, Zanzibar itakuwa kama Dubai! Nchi inayokopa ni Tanzania na walipaji ni Tanzania!! Zanzibar haiwezi kudaiwa maana haijakopa Zanzibar!!Hii hatari, mbona Zanzibar wamechukua mgao mkubwa hivyo?
Hivi Zanzibar ni awamu hii tu au na awamu zilizopita!!?
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Na mwaka huo Tanganyika itakuwa Kama China.Hadi kufika 2025, Zanzibar itakuwa kama Dubai! Nchi inayokopa ni Tanzania na walipaji ni Tanzania!! Zanzibar haiwezi kudaiwa maana haijakopa Zanzibar!!
Wanapinduana hovyo,no stability,,pia hawana fursa ya utalii wa fukwe kama Zanzibar, Seychelles na Mauritius.Nini kimeizuia Comoro kuwa kama Dubai?
Kiongozi wa juu wa Zanzibar bila kumung'unya maneno alisema tuko tayari mtukatie umeme tutawasha vibatari!! Baada ya kuona hawawezi kulipa deni la umeme!!Yani wangekuwa wanalipa deni kama sisi isingekuwa shida sema ni kwamba hata umeme kulipa huwa unawashinda!
Nyie si mnajiita Tanzania endeleeni kujifanya wajanja.Kwny kulipa inakuwa Muungano wa Nchi moja tu Tanganyika