Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masuala ya maji Zanzibar si ya muungano! kuna SMZ na idara husika
Zanzibar iliruhusiwa kukopa yenyewe nje ya muungano
Kwanini Zbar inakopa kupitia JMT? Hili deni Zanzibar wanalilipa vipi?
Huu ni ujanja wa kukopa na kumtwisha Mtanganyika mzigo
Lakini pia angalia mgao wa mkopo ulivyo. Zanzibar ina watu 1.2 . Dsm ina watu milioni 6 !!
Katiba na Tanganyika ni muhimu kuliko uvyama. Hili deni unalipia ukiwa CUF,ACT, Chadema, CCM ilimradi tu wewe ni Mtanganyika! tafakari na ujiulize
Pascal Mayalla JokaKuu
Ningekufunza jambo lakini kwa kauli hii ya "kisiwa cha Zanzibar " basi nimeamua kukuacha na malalamiko yako.
Wengi wenu mnalalama ovyo tu humu, endeleeni kulalama.
Viva Mama Samia Suluhu Hassan. Jambo la mama ni jambo letu
#nyukiwamama
Serikali ya Japan imeipatia Tanzania mkopo wa shillingi billion 761.8 kwaajili ya utekelezaji wa miradi mbali mbali ya maendeleo nchini!
Katika mkopo huo kisiwa cha Zanziba kimepewa mgao wa Tsh billion 218+
Kazi iendelee....View attachment 2107913
View attachment 2107914
Ma CCM yanaumia polepole maana kusema mama anapendelea Zanzibar hayaweziSerikali ya Japan imeipatia Tanzania mkopo wa shillingi billion 761.8 kwaajili ya utekelezaji wa miradi mbali mbali ya maendeleo nchini!
Katika mkopo huo kisiwa cha Zanziba kimepewa mgao wa Tsh billion 218+
Kazi iendelee....View attachment 2107913
View attachment 2107914
Hongera Mkuu, wewe ulifanikiwa kukandamizwa kichwa ili ufanane na Mwarabu. Big achievement!bakizeni machogo yenu hukohuko bara, mna vichwa kama Thierry Henry nchi nzima, nyie watu gani?
Sisi Watanganyika Elimu zetu hazijatusaidia kabisa. Tunapenda kupotosha mambo for unnecessary. Kuna tofauti Kati ya mgawo fedha kwa Zanzibar na utekelezaji wa mradi wa Serikali ya Muungano ndani ya Zanzibar. Pesa zimeombwa kea specific projects na moja Kati ya projects hizo ni hiyo ya maji Zanzibar. Kuna shida gani kwa serikali ya Muungano kutekeleza mradi wa maji Zanzibar? Mbona kule Arusha umetekelezwa mradi wa Bilioni 500+? Mbona JPM alitekeleza mradi wa shule za kisasa kila Wilaya Zanzibar na Pemba?Haya ndo mambo ambayo Hangaya kayafanyia kazi! a.k.a kero za muungano yaani Tanzania bara inapata billion 540 na zanzibar wanapata karibia billion 220 huu ni upuuzi wa hali ya juu! Watanganyika mnachekelea tu!
Huo sio mgawo kwa Zanzibar ni fedha zinzazoenda kutekeleza mradi ndani ya Zanzibar na huu si wa kwanza. Hata mradi wa Airport ya Zanzibar ulitekelezwa kwa style hii.Hizi fedha zanzibar wanapewa mgao mkubwa , wanatumia formula gani kuzigawa? Ukubwa wa eneo? Idadi ya watu? Au Maza hajui hesabu?
Waache nao wale. Ni zamu yao.Hivi Zanzibar ni awamu hii tu au na awamu zilizopita!!?
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Ma CCM yanaumia polepole maana kusema mama anapendelea Zanzibar hayawezi