Japan Yajaribu 6G kwa Kasi ya 112Gbps!

Wakiitengeza hiyo zitakuja videos fupi za 8K tu za 500 GB mambo yatarudi palepale πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Shithole countries bado tunang'ang'ania elimu ya kushindanisha wanafunzi kukariri UPUMBAVU uliopitwa na wakati ili waje kuwa mzigo kwa taifa kwa kulilia ajira ili wapate nafasi za ulaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…