FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Takwimu zinaonyesha taifa la Japan (kizazi cha waJapan) kinaenda kufutika kabisa ndani ya miaka 100 ijayo. Hii inatokana na kiwango kidogo zaidi kuwahi kushuhudiwa cha uzazi huko Japan, ambapo kwa wastani mwanamke mmoja anazaa mtoto mmoja, ‘fertility rate ni 1.2’.
Maana yake wanashindwa hata kureplace watu waliopo ambao tayari wengi ni wazee tayari, na vijana ndio wamegoma kuzaa, hivyo serikali imetenga hizo dollar bilioni 40 ili kuwapa motisha vijana waweze kuzaa.
abcnews.go.com

Japan's birth rate falls to a record low as the number of marriages also drops
The Japanese government data shows the country's birth rate fell to a new low for the eighth straight year in 2023