#COVID19 Japan yatoa tahadhari kusitisha au kuahirisha safari za Tanzania kufuatia hali mbaya ya maambukizi ya Covid-19

Majirani zetu waliokuwa wanatoa takwimu za wagonjwa na vifo vya covid kila siku naona sasa hivi baada ya kutafuta pesa za mabeberu za covid sasa hivi wapo kimya...nashangaa sisi TUNAOMTANGULIZA MUNGU MBELE NDIO TUNAANDAMWA!
Lakini mbona watanzania wanaosafiri nje ya nchi wakiwemo wanamichezo huko wakipimwa wanaonekana hawana corona?
MUNGU OYEEE!, CORONA ZIII!
 
Hiyo hali mbaya ya maambukizi iko sehemu gani, mbona sisi huku Namtumbo tunadunda tu na tunajamiiana kwa kwenda mbele hakuna maambukizi?
 
Mwenyewe unafurahi ulivyo fala "Miafrika ndivyo tulivyo"
CcNyaningabu
 
Uchumi uyumbe vipi mkuu, uchumi wako ndio utayumba, watu wenye HIV zao, wanavyoogopa
 
Viongozi wetu ubongo zao zina tunda ya ubuyu
Yaani watu wanaacha kazi zilizotukuka wanakimbilia siasa. wakienda huko wanapoteza kabisa akili zao za awali.
Hii siasa imegeuka kama dini mpya na mtume mpya.
Mtume anatukuzwa na kusujudiwa.
Hata kama mfalme hapendezi watapaaza sauti zao, Kapendezaaaaa!!!
Ipo haipooo, Haipoooo na ole usikike ukisema, Ipoooo!
Nasema uongo ndugu zangu?
 
Kwa nini watu wanaamua kukumbatia mambo haya. Ni wazi sasa kwamba mfalme akisema mfano, mbu haenezi maleria watu wanaweza kushangilia tu ili mradi tu wanamwamini. Unawezaje kuiambia dunia yote hakuna korona Tz. Au ni ile tafiti ya kupima mafenesi..
Mpaka makanisani wanakwambia mfalme akisema ndiyo sahihi, maana unapunguza hofu ya watu kupata Malaria hata kama wanapata malaria na kufa.

So viongozi wa pande zote wote wana hofu na maisha yao.
 
Mpaka dikteta akimbie mwenyewe
 
KWANI LINI JAPAN ILIWAHI KUTOA TAMKO KURUHUSU WAJAPANI KUTEMBELEA?
 
Hadi lini tutaongozwa na mintunga!!???
 
Hasira zao Japan za kampuni yao ya konoike kuporwa tenda za barabara na kupewa wachina!!! Corona kisingizio tu
 
Wanyarwanda wakitoa statement kama hiyo ya Japan naomba munitag
 
TOKYO - Wizara ya Mambo ya Nje ya Japan imetoa onyo kusitisha au kuahirisha kusafiri kwenda Tanzania kwa sababu ya hali mbaya ya maambukizi ya ugonjwa wa coronavirus.
Ugonjwa upo ila umebatizwa jina jipya:
'Changamoto ya kupumua'
 
Japan hawanaga ujinga- wajapani ni wazungu.... very smart nation.
 
Corona imewavuruga watu hakuna anayejua usahihi wa anachokifanya kila mtu anajaribu kufanya anachodhani kinafaa,kwa kifupi ni kutapatapa tu.
 
Tumeambiwa kuna shida za upumuaji tuendelee na maisha...alisikika mmliki wa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…