Wadau nina swali.Kwa sababu gani magari mengi yakijapani speed mwisho180 kmh tofauti na mgermany mengi ni 240kmh au 260kmh.benz ndogo yenye cc 1800 utakuta nayo 260kmh.kwa sababu gani??
Hio nissan Gtr ni sports car na bei haikamatiki!!!! tofauti na gari za kijermani kama baadhi ya golf za kawaida tu ila speed260kph
Hio nissan Gtr ni sports car na bei haikamatiki!!!! tofauti na gari za kijermani kama baadhi ya golf za kawaida tu ila speed260kph
TOYOTA AVENSIS UNAIJUA??HONDA ACCORD?MAZDA 6 AU RX? hizo zote zina 240kph
Hata Corolla mbona zipo za >180kph
mbona zote hizo nmezcheki ni 180kp/h
corolla gani hio gani mkuu?
Germany cars nazipenda kuliko Japanese cars