Japanese cars vs Germany cars

Japanese cars vs Germany cars

elmasry

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2014
Posts
381
Reaction score
154
Wadau nina swali.Kwa sababu gani magari mengi yakijapani speed mwisho180 kmh tofauti na mgermany mengi ni 240kmh au 260kmh.benz ndogo yenye cc 1800 utakuta nayo 260kmh.kwa sababu gani??
 
hujawahi kuona magari ya kijapan yenye max speed 240 au 260kph??? kuna NISSAN GTR ina 340kph.
 
Suala la speed kuna vigezo vingi vinaangaliwa,kama vile muundo wa body,surface tension,aerodynamic mass balance,spoiler etc etc,,,lakini kwa ujumla gari za ki jerumani zimeundwa kwa malighafi mujarab.
 
hujawahi kuona magari ya kijapan yenye max speed 240 au 260kph??? kuna NISSAN GTR ina 340kph.

Hio nissan Gtr ni sports car na bei haikamatiki!!!! tofauti na gari za kijermani kama baadhi ya golf za kawaida tu ila speed260kph
 
Germany kuna baadhi ya barabara zao zinaitwa Autobahn Hazina speed limit. Kwa hiyo kukuta gari zinakimbia 200km/hr then gari nyingine inakuja kukupita Kama umesimama ni Jambo la kawaida..
 
Hio nissan Gtr ni sports car na bei haikamatiki!!!! tofauti na gari za kijermani kama baadhi ya golf za kawaida tu ila speed260kph

TOYOTA AVENSIS UNAIJUA??HONDA ACCORD?MAZDA 6 AU RX? hizo zote zina 240kph
 
Germany cars nazipenda kuliko Japanese cars
 
mbona basi lina speed 120 lakini linayapita magari yenye speed 180. Tafakari hapa!
 
Back
Top Bottom