Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Mi na shangaa hapa nchi kwetu mtu kashaota manyoya sehemu za siri ndio unaenda kumfundisha uzarendo JKT na sehemu nyengine.
Maandalizi haya yangekuwa yananza wakiwa tokea wamezaliwa kama wanafanya japan basi wapuuzi na wajinga wangepungua kwa kasi kubwa.
Swala la uwajibikaji na maadili lilitakiwa kuanza tokea kwenye umri mdogo.
Ndio maana nchi kama japani serikali yao ni makini kwenye malezi na shule ya msingi sana.