tusijifananishe na Japan,,, hawa hawategemei shule kumfundisha mtoto uzalendo.. pamoja na "moral education" wanayofundiswa shuleni ila unachokiona Japan kipo hata kabla hajazaliwa Yesu,,
hawa watu wana mitaala yao kabla hata hii ya sasa tuliyoletewa na sisi huku..
siye kwenye uzalendo tulishachelewa na haitotokea kuwepo,,,na kwanza mataifa yaliyotawaliwa hakunaga kitu uzalendo maana desturi na tamaduni lazima zimeshachakachuliwa..
siye twende na "ufahamu wa haki na wajibu wa raia" ambao hata majirani zetu hapa akina Rwanda, Malawi, Zambia na wengine wanao,,,, kwamba mfano huko kwao huwezi ukaibuka tu mtaani kwao ukaiishi kama wao wanavyoweza kuja na kuishi huku kwetu maana siye tunaona ni kazi ya serikali siyo wananchi kuwaripoti wahamiaji haramu...