Japhet Hasunga: Deni la kodi ya Ths trilioni 300 za makinikia ni aibu kwa nchi, hazina uhalisia

Hapa ndo mpime sasa uhuru wa maoni unavyoweka wazi fikira za watu au kuzificha.

Na awamu hii nafikiri ufisadi utaonekana upo juu kweli sio kwa sababu upo juu kuliko nyakati nyingine ila ni kwa sababu watu hawataogopa kuuzungumza unapotokea.
 

TRA maafisa wake walisomea wapi?
 
yaani unaamini kuwa deni halina uhalisia lakini hatakiwi kusema kwa kuwa kipindi kile hakusema? au deni lina uhalisia na hatakiwi kusema hivyo?
 
yaani unaamini kuwa deni halina uhalisia lakini hatakiwi kusema kwa kuwa kipindi kile hakusema? au deni lina uhalisia na hatakiwi kusema hivyo?
anatakiwa ajiudhulu kama Jobo tu , unafiki ni kitu kibaya saana period
 
Mkuu matusi na dharau zako ni kujifurahisha tu. Alichoongea huyo jamaa ndio ukweli wenyewe kuhusu sekta ya madini. Ni mali ya familia moja au mbili za Marekani na Canada.

Familia ya George Bush ni mojawapo ya wamiliki wa migodi yote mikubwa duniani. Kinachowapa jeuri ni miundo mbinu ya mgodini, sio kazi ndogo kuimiliki na kuiendesha.
 
Sio professional rubbish bali ni PROFESSORIAL RUBBISH 😆😆
 
u

Ripoti ya Osoro na Mruma ilizua mjadala mkubwa ambapo aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu alikuwa mkosoaji mkubwa wa ripoti hiyo na kuiita professional rubbish ambapo alipigwa risasi s siku chache baadae

Alisema ni "Professorial Rubbish" na kauli ilimponza sana ile!
 
Ndio ile report tuliyoahidiwa gari za Noah nchi nzima?
 
Ni kwasababu sisi ni wapumbavu!

Kama tungekuwa siyo wapumbavu tusingewaachia hizo familia zimiliki madini yetu.

Sasa anapotokea mtu anajaribu kutuzindua alafu tunaanza kumpinga hakuna jina lingine tunalostahili kuitwa zaidi ya wapumbavu. Na upumbavu siyo tusi.

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…