Japhet Hasunga: Deni la kodi ya Ths trilioni 300 za makinikia ni aibu kwa nchi, hazina uhalisia


Exposure?! Daah aisee umenishangaza sana

Na wewe unaona sawa tu kuchukuliwa madini kwenye ardhi yako uliopewa na muumba na familia moja ya kitajiriโ€ฆ.

Unaona sawa tu mtanzania anavyokufa kwa kukosa huduma za msingi kisa familia moja ya kitajiri inachukua rasilimali na wewe unachekelea unaona ni sawa tu wachukue kisa wanawezaโ€ฆwatu km nyie niwakupoteza maana ni sumu mbaya sanaโ€ฆna type yako wewe unaenza chukuliwa mke, watoto na nyumba kisa jamaa tajiriโ€ฆvery weak minded peopleโ€ฆambao hamtatuvusha hata hatua moja kwa mentality hiiโ€ฆhayo madini lazima kuuzwa yasipouzwa yataozaโ€ฆna ndio maana wanatusoma wanatuona jamaa waoga hawajiamini tunaeza wafanya lolote kwanza hawana umojaโ€ฆuna bribe mmoja anasaliti the restโ€ฆvery painful

Watu km nyie kuna mzungu moja anaita useless eaters they do nothing for humanityโ€ฆ

Uoga wetu ndio umaskini wetu
 


Aisee kanishangaza sana huyu jamaa
 


Upumbavu ni kipajiโ€ฆ.

au nasema uongo ndugu zangu๐Ÿ˜„

Safari ni ndefu sanaโ€ฆ
 
true,kuna liwaziri limoja juzi linatamka eti ardhi ya tanzania ni mali ya rais
Huyu waziri akiwa ziarani alihamasisha halmashauri zote zipande vitindi eti ni utalii navinaleta rutuba.Nilishika mdomo
 
Huyu hasunga kaongea ujinga tu,watu walikua wanaiba sasa hivi anawatetea
 
Neno upumbavu unalipenda lakini unalitumia pasipo mahali pake. Wakati wazungu wanagawana bara la afrika mwaka 1884 hapa Tanzania pote palikuwa ni pori tu simba na chui wakikimbizana.

Wakati hao wazungu wanajenga uwezo wa kumiliki migodi yote ya madini sisi tulikuwa bado sana kiuchumi, ukumbuke hilo kabla hujaanza kuandika kwa hasira zisizo kusaidia.

Wanamiliki migodi kwa sababu wamewekeza mtaji wa mabilioni ya dola ambao mimi na wewe hatuna na hatujui lini tutazipata hizo pesa, wamewekeza miundo mbinu ya kisasa ambayo mimi na wewe hatuna na hatujui ni lini tutakuwa na uwezo wa kuwa nayo.
 
Tundu Lissu alishasema.... Hii kitu ni professional rubbish. Sisi ni nani mpaka tubishe
 
Ukizaliwa masikini na ukafa masikini, ni kosa lako sio wazazi wako... kwamba anaona hizo trilioni 300 ni nyingi sana... haki ya mama... hivi anajua Africa ni kiasi gani cha utajiri wetu unachukukiwa na wazungu... asome hii report huyo mnyarwanda ili aujue kutoka gazeti la The Guardian.

[World is plundering Africa's wealth of 'billions of dollars a year']

Sehemu ya taarifa yao ni hii "It said African countries received $162bn in 2015, mainly in loans, aid and personal remittances. But in the same year, $203bn was taken from the continent, either directly through multinationals repatriating profits and illegally moving money into tax havens, or by costs imposed by the rest of the world through climate change adaptation and mitigation."

Ambapo inasema fedha zinazoibwa afrika ni nyingi ( $203bn ) kuliko zinazoingia kama misaada ( $162 bn)
 
wewe na familia yako mpaka sasa mmefanyaje kuuvuna huo utajiri?
 
Lisu alivyowaambia ukweli kipindi kile uko mezani na chakula mdomoni mkasema ni msaliti kwakua mlikuwa mna ajenda zakudanganya wananchi mtatoana roho sasa wenyewe kwa wenyewe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ