Mkwere nilimuogopa pale 2015 alipoajiri walimu 46( elfu arobaini na sita) bila kutuma maombiMama akae na Mkwere amuulize aliwezajewezaje achukue mbinu pale, lakini serikali haiwezi kuondoa hili janga 100% hivyo waendelee na mwendo huu huu wa kuwavutia wawekezaji waje wawekeze ili kutoa fursa za ajira, na pia zitungwe sheria ambazo zitawalinda wawekezaji tusiwe unpredictable akija kiongozi fulani anaona private sector ni ya kuikamua akija mwingine anaona private sector ni muhimu tuwe na strong policy kwenye uwekezaji.
Yule Mzee muache kama alivyo ana moyo safi saana.Mkwere nilimuogopa pale 2015 alipoajiri walimu 46( elfu arobaini na sita) bila kutuma maombi
Na ww unalima nini?Vijana kazi zipo za kumwaga akili yako tuu, uncle wangu analima acre tano za vitunguu ana pesa sana huo ni mfano tuu
Wewe au ndugu zako wengine,wamelima kiasi gani na ni matajiri wa levo zipi?Vijana kazi zipo za kumwaga akili yako tuu, uncle wangu analima acre tano za vitunguu ana pesa sana huo ni mfano tuu
Hujui kusoma bosi? mimi silimi lakini uncle analima na ana pesa nyingi, i wish ningekuwa na muda na mazingira nafikiri ningelima kama yeyeNa ww unalima nini?
Mimi silimi, uncle wangu analima ana pesa nyingi sana , najua anaweza kukuajiri akakulipa kuliko mshahara wa serikaliWewe au ndugu zako wengine,wamelima kiasi gani na ni matajiri wa levo zipi?