ObieTrice
Senior Member
- Jun 27, 2017
- 159
- 154
Baraza la Sanaa nchini(BASATA) limesema kuwa Haliwezi kumpatia msanii Ray Vanny mapokezi ya heshima kwa kuwa hawana taarifa rasmi za ujio wake na hata alipoondoka hakuaga.
Msanii huyo ameshinda tuzo ya BET kipengele cha Viewers Choice Best New International Act Artist na anatarajiwa kurejea nchini mchana wa leo.
Msanii huyo ameshinda tuzo ya BET kipengele cha Viewers Choice Best New International Act Artist na anatarajiwa kurejea nchini mchana wa leo.