Japo BASATA kutotambua mapokezi ya Rayvany, mapokezi yamenoga

Japo BASATA kutotambua mapokezi ya Rayvany, mapokezi yamenoga

ObieTrice

Senior Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
159
Reaction score
154
Baraza la Sanaa nchini(BASATA) limesema kuwa Haliwezi kumpatia msanii Ray Vanny mapokezi ya heshima kwa kuwa hawana taarifa rasmi za ujio wake na hata alipoondoka hakuaga.

Msanii huyo ameshinda tuzo ya BET kipengele cha Viewers Choice Best New International Act Artist na anatarajiwa kurejea nchini mchana wa leo.
 
mmeacha kufanya kazi mnaenda kushanglia dabliyuusibii mwisho mnaishia kusema life gumu mara magu anabana
 
Sio mbaya lakini kaitangaza nchi zaidi..
[HASHTAG]#KaribuHomeRayvanny[/HASHTAG]
 
Only in Tanzania
-Msafara wa mazishi unasumbua watu
-Msafara na WCB umeruhusiwa
 
Em acheni kuhusisha basata na mambo ya ajabu.. yaani tuzo ya kununua ndio adi basata awepo. Ingekua Alikiba at least wangehudhuria maana anashnda kiukweli
 
VIVA
[HASHTAG]#Raymomd[/HASHTAG]
[HASHTAG]#RayVanny[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Ray[/HASHTAG] van Boy
[HASHTAG]#Mondray[/HASHTAG]
ViVa
[HASHTAG]#WCB[/HASHTAG]

-Mond-
 
Kweli wanyakyusa hatupendani,naona mwak alitaka mwanae ndo ashinde labda

...wivu ..inda...chuki...husda..roho ya korosho..kijicho pembe .....
 
Back
Top Bottom