GE2025 Japo hajapenya kugombea na ni mara yake Luhaga Mpina anaonekana tishio kwa CCM na ACT Wazalendo

GE2025 Japo hajapenya kugombea na ni mara yake Luhaga Mpina anaonekana tishio kwa CCM na ACT Wazalendo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
1757956332865.png

Japo kuna dhana kuwa ACT-Wazakabwe ni CCM B, kuna kitu naona kwa mgombea wake Luhaga Mpina. Inakuwaje CCM wanamuwekea mapingamizi kila kona?

Je, ana kitu kinachofanya wamgwaye isijekuwa kama yale ya Tshekedi na Kabila kule DRC ambaye aliwekwa na Kabila akidhani ni boya kumbe naye alikuwa na lake.

Najaribu kufikiri kimya kimya.
1757956366537.png

​

 
Wanaogopa sababu ya 'antipathy' ya watanganyika dhidi ya mgombea wa chama kikongwe watamchagua yeyote anaye onekana kumzidi uwezo.
Ufafanuzi: Antipathy siyo Antipas Lissu ni aversion (chuki dhidi ya).
 
Back
Top Bottom