Mbuli yaza
JF-Expert Member
- May 30, 2023
- 711
- 683
Nchimb atakuwa rais kimaajabu kama Ndo tajeti ya Israel muondoa roho,ili atakaye kuja aweze kuangalia tena wale jamaa wa loyal family na waliokuwa wamekosa asali.
Hakika kabisa...wasukuma tuna msemo kuwa mlamba asali halambi mara moja!!Nyerere aliwahi kusema, ukionja nyama ya mtu huwezi kuacha
Lakini pia wahenga waliwahi kusema, mwonja asali huchonga mzinga
Mungu atupe mwisho mwema 🙏🙏
Kabisa MkuuHakika kabisa...wasukuma tuna msemo kuwa mlamba asali halambi mara moja!!
Katiba imara na nzuriKama ni kweli hilo tukio litawezekana basi
huo utaratibu wa kutwaliana utakuwa ni mtindo endelevu!
Nini sasa kifanyike kuondoa huu utaratibu wa umwagaji damu kwa viongoz wetu waliolewa madaraka?
Ndio maana yallaBoy hapewi uteuzi kwa sababu ya mavoisi from wiziniSi mchezo huyo ndio Mayalla
Kuna siku atasikia Saudi ya Israeli mtoa rohoDada anajivunia back up ya Msoga! Ikitokea hakuisikia voice within harafu ikawa basi ndiye yuko nguoni mwake kikulacho.
Kibibi hakiuziki .Huu mchezo mlioanzisha kamwe hautawaacha salama. Mambo ya kutawala bila ridhaa ya wananchi yatawaumiza sana. Piteni na huyu hadi akili iwakae vizuri.
Ni kweli lakini usisahau hata katiba hii hii mbovu wanaivunjaKatiba imara na nzuri
Wanabodi,
Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina.
Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yangu, aliyetwaliwa. Japo hakuna binaadamu yeyote ajuaye sababu halisi za kutwaliwa kwake, isipokuwa YEYE mwenyewe pekee, ndie Aliyetoa, kisha Akatwa, ila kuna watu, “Saw It Coming!“ wakasema, wakapuuzwa, as a result, Kaka akatwaliwa!.
Sasa hao watu wenye jicho hilo la tatu, wanaviona viashiria vya same same likely scenario na wanasema kwa nia njema na dhamira safi ya kumsaidia huyu Dada.
Dada yangu mpenzi, nakuomba sana, ukisikia kitu, sio lazima ukizingatie kila utakacho sikia, maana utasikia vingapi?, ila sikiliza kila utakacho sikia, na ukiisikia sauti kutoka ndani yako, the voices from within, ikimwambia kitu, aifanyie tathmini hiyo sauti kama ni sauti ya YEYE Mwenyewe, au ni yeye tuu!, ikitokea ni sauti kwake YEYE, then, usiipuuzie!.
Leo asubuhi nikiwa bafuni naoga ili kwenda kwenye shughuli zangu, nikaisikia sauti, voices from within, ikiniambia, ukisikia kitu, mwambie tuu Dada yako, kuna watu wamemzunguka, wakimwimbia nyimbo za sifa na mapambio, huku wana jicho la tatu, kuna vitu wanaviona, hawamwambiii, wameamua kunyamaza, hawasemi ila ukweli wanaujua, na wana uwezo wa kumsaidia kwa kumwambia ukweli, ila wanachelea labda Dada atakasirika.
Sauti hiyo imeniambia Dada akiambiwa, akisikiliza, itamsaidia, ila akisikia akapuuza, yule YEYE, anaweza kufanya jambo!.
Paskali
Kuna kitu siku hizi wajanja wanaita ''kupitia dirishani'' badala ya kwenye mlango. Kutwaliwa kwa yule jamaa kulileta ahueni na opportunies kwa wengine kwa sababu ''dirisha'' lilitumika kisawaswa. Hili lime-set precedence, watu wameshaona njia rahisi ni kupitia kwenye dirisha badala ya njia ngumu ya mlango. Kama ulivyosema hili litawatesa sana na kila atakayekalia kiti atakuwa na wasiwasi muda wote kwa sababu anajua wajanja wakitaka mabadiliko kwa njia rahisi kabisa ni kufyatua kiti alichokalia. Suluhu itakuwa ni kubadilisha katiba na kufanya mambo kwa haki.Huu mchezo mlioanzisha kamwe hautawaacha salama. Mambo ya kutawala bila ridhaa ya wananchi yatawaumiza sana. Piteni na huyu hadi akili iwakae vizuri.
Wanadai ni Mungu baba muumba mbingu na nchiNi nani anayewatwaa ?😃
Jamani hebu tuwe wakelei,,huyu mama kwanini tunamchulia sana kuuawa.Anakosa. Gani Hilo.Unawezalinganisha huyua na enzi za akina kikwete.Au kwa kuwa kkakataa kiburuzwa na kikwete na kundi la makamba?Wanabodi,
Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina.
Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yangu, aliyetwaliwa. Japo hakuna binaadamu yeyote ajuaye sababu halisi za kutwaliwa kwake, isipokuwa YEYE mwenyewe pekee, ndie Aliyetoa, kisha Akatwa, ila kuna watu, “Saw It Coming!“ wakasema, wakapuuzwa, as a result, Kaka akatwaliwa!.
Sasa hao watu wenye jicho hilo la tatu, wanaviona viashiria vya same same likely scenario na wanasema kwa nia njema na dhamira safi ya kumsaidia huyu Dada.
Dada yangu mpenzi, nakuomba sana, ukisikia kitu, sio lazima ukizingatie kila utakacho sikia, maana utasikia vingapi?, ila sikiliza kila utakacho sikia, na ukiisikia sauti kutoka ndani yako, the voices from within, ikimwambia kitu, aifanyie tathmini hiyo sauti kama ni sauti ya YEYE Mwenyewe, au ni yeye tuu!, ikitokea ni sauti kwake YEYE, then, usiipuuzie!.
Leo asubuhi nikiwa bafuni naoga ili kwenda kwenye shughuli zangu, nikaisikia sauti, voices from within, ikiniambia, ukisikia kitu, mwambie tuu Dada yako, kuna watu wamemzunguka, wakimwimbia nyimbo za sifa na mapambio, huku wana jicho la tatu, kuna vitu wanaviona, hawamwambiii, wameamua kunyamaza, hawasemi ila ukweli wanaujua, na wana uwezo wa kumsaidia kwa kumwambia ukweli, ila wanachelea labda Dada atakasirika.
Sauti hiyo imeniambia Dada akiambiwa, akisikiliza, itamsaidia, ila akisikia akapuuza, yule YEYE, anaweza kufanya jambo!.
Paskali
Ikitokea hivyo mimi binafsi nitafurahi mnoWanabodi,
Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina.
Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yangu, aliyetwaliwa. Japo hakuna binaadamu yeyote ajuaye sababu halisi za kutwaliwa kwake, isipokuwa YEYE mwenyewe pekee, ndie Aliyetoa, kisha Akatwa, ila kuna watu, “Saw It Coming!“ wakasema, wakapuuzwa, as a result, Kaka akatwaliwa!.
Sasa hao watu wenye jicho hilo la tatu, wanaviona viashiria vya same same likely scenario na wanasema kwa nia njema na dhamira safi ya kumsaidia huyu Dada.
Dada yangu mpenzi, nakuomba sana, ukisikia kitu, sio lazima ukizingatie kila utakacho sikia, maana utasikia vingapi?, ila sikiliza kila utakacho sikia, na ukiisikia sauti kutoka ndani yako, the voices from within, ikimwambia kitu, aifanyie tathmini hiyo sauti kama ni sauti ya YEYE Mwenyewe, au ni yeye tuu!, ikitokea ni sauti kwake YEYE, then, usiipuuzie!
Kupata ulevi wa madaraka lazma kuwe na force ya kufanya kila mtu akusujudu..Kwa bahati mbaya hujui kitu kinaitwa ulevi wa madaraka
Sawa subiri Lissu atakutengea mezaniNdio boss, ulitaka ipatikane kwa njia gani?