Japo hakuna ajuaye sababu za kutwaliwa kaka, isipokuwa yeye, kuna watu saw it coming, wakasema, wakapuuzwa, akatwaliwa. Dada ukisikia usipuuze hili

Huu mchezo mlioanzisha kamwe hautawaacha salama. Mambo ya kutawala bila ridhaa ya wananchi yatawaumiza sana. Piteni na huyu hadi akili iwakae vizuri.
Kibibi hakiuziki .

Mabango kila mkoa.

Ziara wanasombwa walimu , wanafunzi na wasio na kazi wanapewa peanuts wanaunga uwanjani.

Media zote zimetekewa ni mama kafanya hiki mama kafanya kile.

Miradi uchwara yenye jina lake .

Kununua magoli ya Simba na Yanga.

Hayo yote kafanya na mengine mengi ila bado hauziki.
 
Wanabodi,

Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina.

Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yangu, aliyetwaliwa. Japo hakuna binaadamu yeyote ajuaye sababu halisi za kutwaliwa kwake, isipokuwa YEYE mwenyewe pekee, ndie Aliyetoa, kisha Akatwa, ila kuna watu, “Saw It Coming!“ wakasema, wakapuuzwa, as a result, Kaka akatwaliwa!.

Sasa hao watu wenye jicho hilo la tatu, wanaviona viashiria vya same same likely scenario na wanasema kwa nia njema na dhamira safi ya kumsaidia huyu Dada.

Dada yangu mpenzi, nakuomba sana, ukisikia kitu, sio lazima ukizingatie kila utakacho sikia, maana utasikia vingapi?, ila sikiliza kila utakacho sikia, na ukiisikia sauti kutoka ndani yako, the voices from within, ikimwambia kitu, aifanyie tathmini hiyo sauti kama ni sauti ya YEYE Mwenyewe, au ni yeye tuu!, ikitokea ni sauti kwake YEYE, then, usiipuuzie!.

Leo asubuhi nikiwa bafuni naoga ili kwenda kwenye shughuli zangu, nikaisikia sauti, voices from within, ikiniambia, ukisikia kitu, mwambie tuu Dada yako, kuna watu wamemzunguka, wakimwimbia nyimbo za sifa na mapambio, huku wana jicho la tatu, kuna vitu wanaviona, hawamwambiii, wameamua kunyamaza, hawasemi ila ukweli wanaujua, na wana uwezo wa kumsaidia kwa kumwambia ukweli, ila wanachelea labda Dada atakasirika.

Sauti hiyo imeniambia Dada akiambiwa, akisikiliza, itamsaidia, ila akisikia akapuuza, yule YEYE, anaweza kufanya jambo!.

Paskali

hivi kuna wa kubabaika na kutishika ramli useless kama hizi kweli badala ya kuchapa kazi kwa bidii kwa maslahi mapana ya wengi kabla Allah hajasema mwanangu inatosha, ñjoo ufurahi nami katika ufalme wa mbingu kwa wakati wake ufaao?

Lakini pia kwa alie iva vizur kiimani na kufahamu wazi kwamba mwanadamu aliezaliwa na mwanamke, siku za kuishi kwake si nyingi, atababaika na huu ushirikina kweli?

Lakini zaidi sana,
mwenyewe imani thabiti, anae amini ya kwamba kuishi ni Kristo na kufa ni faida, hawezi kubabaika na imani potofu na unabii wa manabii wasaka tonge kinyonge hivyo gentleman,

na halafu si ujipigie ramli mwenyewe sasa, halafu na uage kabisa ndugu, jamaa na marafiki mapema?

au ramli za umauti ni kwaajili ya wengineo pekee na sio mpiga ramli mwenyewe?🐒
 
Huu mchezo mlioanzisha kamwe hautawaacha salama. Mambo ya kutawala bila ridhaa ya wananchi yatawaumiza sana. Piteni na huyu hadi akili iwakae vizuri.
Kuna kitu siku hizi wajanja wanaita ''kupitia dirishani'' badala ya kwenye mlango. Kutwaliwa kwa yule jamaa kulileta ahueni na opportunies kwa wengine kwa sababu ''dirisha'' lilitumika kisawaswa. Hili lime-set precedence, watu wameshaona njia rahisi ni kupitia kwenye dirisha badala ya njia ngumu ya mlango. Kama ulivyosema hili litawatesa sana na kila atakayekalia kiti atakuwa na wasiwasi muda wote kwa sababu anajua wajanja wakitaka mabadiliko kwa njia rahisi kabisa ni kufyatua kiti alichokalia. Suluhu itakuwa ni kubadilisha katiba na kufanya mambo kwa haki.
 
Wanabodi,

Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina.

Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yangu, aliyetwaliwa. Japo hakuna binaadamu yeyote ajuaye sababu halisi za kutwaliwa kwake, isipokuwa YEYE mwenyewe pekee, ndie Aliyetoa, kisha Akatwa, ila kuna watu, “Saw It Coming!“ wakasema, wakapuuzwa, as a result, Kaka akatwaliwa!.

Sasa hao watu wenye jicho hilo la tatu, wanaviona viashiria vya same same likely scenario na wanasema kwa nia njema na dhamira safi ya kumsaidia huyu Dada.

Dada yangu mpenzi, nakuomba sana, ukisikia kitu, sio lazima ukizingatie kila utakacho sikia, maana utasikia vingapi?, ila sikiliza kila utakacho sikia, na ukiisikia sauti kutoka ndani yako, the voices from within, ikimwambia kitu, aifanyie tathmini hiyo sauti kama ni sauti ya YEYE Mwenyewe, au ni yeye tuu!, ikitokea ni sauti kwake YEYE, then, usiipuuzie!.

Leo asubuhi nikiwa bafuni naoga ili kwenda kwenye shughuli zangu, nikaisikia sauti, voices from within, ikiniambia, ukisikia kitu, mwambie tuu Dada yako, kuna watu wamemzunguka, wakimwimbia nyimbo za sifa na mapambio, huku wana jicho la tatu, kuna vitu wanaviona, hawamwambiii, wameamua kunyamaza, hawasemi ila ukweli wanaujua, na wana uwezo wa kumsaidia kwa kumwambia ukweli, ila wanachelea labda Dada atakasirika.

Sauti hiyo imeniambia Dada akiambiwa, akisikiliza, itamsaidia, ila akisikia akapuuza, yule YEYE, anaweza kufanya jambo!.

Paskali
Jamani hebu tuwe wakelei,,huyu mama kwanini tunamchulia sana kuuawa.Anakosa. Gani Hilo.Unawezalinganisha huyua na enzi za akina kikwete.Au kwa kuwa kkakataa kiburuzwa na kikwete na kundi la makamba?
 
Wanabodi,

Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina.

Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yangu, aliyetwaliwa. Japo hakuna binaadamu yeyote ajuaye sababu halisi za kutwaliwa kwake, isipokuwa YEYE mwenyewe pekee, ndie Aliyetoa, kisha Akatwa, ila kuna watu, “Saw It Coming!“ wakasema, wakapuuzwa, as a result, Kaka akatwaliwa!.

Sasa hao watu wenye jicho hilo la tatu, wanaviona viashiria vya same same likely scenario na wanasema kwa nia njema na dhamira safi ya kumsaidia huyu Dada.

Dada yangu mpenzi, nakuomba sana, ukisikia kitu, sio lazima ukizingatie kila utakacho sikia, maana utasikia vingapi?, ila sikiliza kila utakacho sikia, na ukiisikia sauti kutoka ndani yako, the voices from within, ikimwambia kitu, aifanyie tathmini hiyo sauti kama ni sauti ya YEYE Mwenyewe, au ni yeye tuu!, ikitokea ni sauti kwake YEYE, then, usiipuuzie!
Ikitokea hivyo mimi binafsi nitafurahi mno
 
Kwa bahati mbaya hujui kitu kinaitwa ulevi wa madaraka
Kupata ulevi wa madaraka lazma kuwe na force ya kufanya kila mtu akusujudu..

Ukifuatilia transition nzima ya 2021 lazma utaona kitu mkuu maana kuna kuwa kiburi na kufanya kiburi kwa sababu inakupasa uwe jeuri. Aidha unapenda ama hupendi

Ulichosema chaweza kuwa sawa na nilichosema chaweza kuwa sawa pia Ila muda utaamua 🙏🏽
 
Back
Top Bottom