Japo hakuna ajuaye sababu za kutwaliwa kaka, isipokuwa yeye, kuna watu saw it coming, wakasema, wakapuuzwa, akatwaliwa. Dada ukisikia usipuuze hili

Pascal,hii imekaaje maana nasikia ameombewa ulinzi
Kweli hii dunia kila mtu aishi anavyoamini tu. Hadi kuwaombea viongozi sasa imekuwa ni lazima! Yes, lazima. Kiongozi mkuu katika imani ya waislam anawaagiza masheikh wote nchi zima wamuombee mama. Mungu tunusuru na watu hawa na usikilize tu maombi ya mtu mmoja mmoja yasiyolazimishwa na mtu mwingine kufanyika.
 
Mkuu habari.
Mimi kama mimi naamini sauti ya ndani na macho ya ndani, Dada anawaamini sana 'watu wake' ....
Dua tumefanya,na mimi nafanya dua mwenyewe, naendelea kufanya...je Dua pekee zitatutosha?.
 
Too late
Labda aokoke na Kwa alivyo hawezi

So ndivyo itakavyokua
 
Nadhani dada analijua hilo. Kwamba hata majuzi kati mjomba wetu alijisikia tu kwenda kumsalimia dada lakini dada akajifungia ndani kimyaaaa, kifupi hakumkaribisha mjomba. Acha wee mjomba amelalamika balaa kwa kitendo hicho cha dada. Lakini najua dada hawaamini kabisa wajomba, mashangazi, nk.
 
Kama ni kweli hilo tukio litawezekana basi
huo utaratibu wa kutwaliana utakuwa ni mtindo endelevu!

Nini sasa kifanyike kuondoa huu utaratibu wa umwagaji damu kwa viongoz wetu waliolewa madaraka?
Mimi sijui nini kinaendelea hapa!!!
Kuna watu ukiwapa nguvu sana, kuja kuwanyang'anya ni vigumu sana..Wameshapewa nguvu,.
Na wenyewe wamegawiana nguvu, Japo tuna nafasi ya kujenga upya ila nani wa kuanza.. wakitolewa huku wanapelekwa kule, uwezo wanao na nguvu wanayo..
Wazee' ndio wanaweza kulitatua hili ki aina..
 
Abdul mwanae yuko wapi ajaribu kumponya mamaye..?

Na njia ya kumponya ni moja tu. Ni kumwambia kumshauri:

"...Mama yatosha, waachie ardhi na nchi yao. Wewe twende nyumbani Kizimkazi ukampumzike. Na kwa namna tulivyolimbikiza, utaishi hata miaka 30+ mbele kama babu Ally Hassan Mwinyi alivyojaliwa kuishi miaka 90+.."

Lakini sijui hata kama watoto wake wana HEKIMA hii. Walishanogewa na kulewa madaraka ya mama yao. Sasa ni mwendo wa inzi kufikia kwenye kidonda tu...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…