Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Wacha moto uwake!Paschal asipuuzwe hata kidogo!!
Binafsi najua Kuna vitu viwili hatari vinatokea mwaka huu 2025!!
1: Cha kwanza ni karma ya mzee kibao Kama ulivyokuwa karma ya Ben saanane 2021!!
2: Hiyo option ya kwanza ikifeli ya pili ni kumsimika mwenyekiti mpya wa chama Cha pembeni kuwa ndiye mwenye kiti kikuu!!!
Wenye kuiponya Tanzania fanyeni Jambo kabla Mambo hayajaaribika zaidi maana sasahv nchi inajiendesha tu bila mwelekeo!!
Usiwasingizie wananchi. Kwa hizi chaguzi za kiini macho kuwasingizia wananchi ni sawa na kuwatukana. Weka kwanza chaguzi za Haki, kisha wananchi walaumiwe, kinyume na hapo sio kweli.Wananchi ndo wanawapa ridhaa kila siku CCM
Sidhani unayosema yatatenda kwa 2025. Actually Karma ambayo inatoka kwa Mungu mwenyewe huwa inakuja ktk majira/nyakati ambazo sio watu wala wahusika wenyewe wanahisi.Paschal asipuuzwe hata kidogo!!
Binafsi najua Kuna vitu viwili hatari vinatokea mwaka huu 2025!!
1: Cha kwanza ni karma ya mzee kibao Kama ulivyokuwa karma ya Ben saanane 2021!!
2: Hiyo option ya kwanza ikifeli ya pili ni kumsimika mwenyekiti mpya wa chama Cha pembeni kuwa ndiye mwenye kiti kikuu!!!
Wenye kuiponya Tanzania fanyeni Jambo kabla Mambo hayajaaribika zaidi maana sasahv nchi inajiendesha tu bila mwelekeo!!
Ili wapigwe risasi na hao polisi wenu vichaa!?Utakuwa kichaa ukisema Lisu alishinda 2020 labda lowasa 2015 anaweza kuwa alishinda au alikaribia.
Kama wananchi wangekuwa wameichoka CCM kiasi hicho waeandama mpaka kufa kama msumbiji
Duu,waswahili,😀😄Wanadai ni Mungu baba muumba mbingu na nchi
!Sikuwa fan mkubwa wa anko mwendazake lakini nafsini nilikuwa najua anapigana vita nzito sana ya nje na ya ndani. Na approach aliyoitumia ya kuwa open book naamini alikuwa anajua kitu anachofanya ni suala la kufa ama kupona..
Kwa hiyo alijitahidi kuzuia kitu alichokiona kikimkaribia ila si kwamba hakujua. Alijua
Huyo dada Ako labda huruma zitumike sana kuweka jinsia sawa kikazi ila kimiiko ya taifa maamuzi magumu yanakuja kuanzia march.
Kama march itapika salama basi April tutasikia mbona ratiba za kumaliza maamuzi zinajulikana kbla ya uchaguzi mkuu.Shusha nyepesi nyepesi
Njaa inakusumbua ila usipuuzweWanabodi,
Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina.
Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yangu, aliyetwaliwa. Japo hakuna binaadamu yeyote ajuaye sababu halisi za kutwaliwa kwake, isipokuwa YEYE mwenyewe pekee, ndie Aliyetoa, kisha Akatwa, ila kuna watu, “Saw It Coming!“ wakasema, wakapuuzwa, as a result, Kaka akatwaliwa!.
Sasa hao watu wenye jicho hilo la tatu, wanaviona viashiria vya same same likely scenario na wanasema kwa nia njema na dhamira safi ya kumsaidia huyu Dada.
Dada yangu mpenzi, nakuomba sana, ukisikia kitu, sio lazima ukizingatie kila utakacho sikia, maana utasikia vingapi?, ila sikiliza kila utakacho sikia, na ukiisikia sauti kutoka ndani yako, the voices from within, ikimwambia kitu, aifanyie tathmini hiyo sauti kama ni sauti ya YEYE Mwenyewe, au ni yeye tuu!, ikitokea ni sauti kwake YEYE, then, usiipuuzie!.
Leo asubuhi nikiwa bafuni naoga ili kwenda kwenye shughuli zangu, nikaisikia sauti, voices from within, ikiniambia, ukisikia kitu, mwambie tuu Dada yako, kuna watu wamemzunguka, wakimwimbia nyimbo za sifa na mapambio, huku wana jicho la tatu, kuna vitu wanaviona, hawamwambiii, wameamua kunyamaza, hawasemi ila ukweli wanaujua, na wana uwezo wa kumsaidia kwa kumwambia ukweli, ila wanachelea labda Dada atakasirika.
Sauti hiyo imeniambia Dada akiambiwa, akisikiliza, itamsaidia, ila akisikia akapuuza, yule YEYE, anaweza kufanya jambo!.
Paskali
Hii ni sawa na dhihaka ile ilifanyika kule Loss Angeles...Kuna watu professional Yao ni kugonga kokoto. Ukijiita Jiwe jua kuna wagonga Mawe.
Yesu aliwahi jifananisha Jiwe walilolikataa Waashi, wagonga Kokoto wakatambaa na Biti
Kwenye hili hoja zake alishazitoa hapahapa JF zaidi ya mwaka uliopita. Na baadae akachukua likizo mpaka haya ya CCM yalivyotokea bado yupo likizo. Akiibuka ni kwa wagombea wa 2030.Basi tuletee Mayala og kwenye hili .
Lisu hawezi ingia ikuluWanabodi,