Japo hakuna ajuaye sababu za kutwaliwa kaka, isipokuwa yeye, kuna watu saw it coming, wakasema, wakapuuzwa, akatwaliwa. Dada ukisikia usipuuze hili

Tunaweka kumbukumbu tu na wala hatusahau.

1. Damu ya Sativa
2.Damu ya Mzee Kibao
3. Damu ya Soka
4. Damu ya Mbise
5. Na Damu za waliotekwa wote na kuumizwa bila haki

Hizi damu zote hizi zinalia na zinatafuta haki.
 
Paschal asipuuzwe hata kidogo!!

Binafsi najua Kuna vitu viwili hatari vinatokea mwaka huu 2025!!

1: Cha kwanza ni karma ya mzee kibao Kama ulivyokuwa karma ya Ben saanane 2021!!

2: Hiyo option ya kwanza ikifeli ya pili ni kumsimika mwenyekiti mpya wa chama Cha pembeni kuwa ndiye mwenye kiti kikuu!!!

Wenye kuiponya Tanzania fanyeni Jambo kabla Mambo hayajaaribika zaidi maana sasahv nchi inajiendesha tu bila mwelekeo!!
Wacha moto uwake!
 
Sidhani unayosema yatatenda kwa 2025. Actually Karma ambayo inatoka kwa Mungu mwenyewe huwa inakuja ktk majira/nyakati ambazo sio watu wala wahusika wenyewe wanahisi.

Mungu huwa anakuja kupasua nyakati ambazo watu wamejisahau na akija kupasua anapasua haswa. Kila mtu atakayesikia lazima masikio yake yawashe.
 
Sikuwa fan mkubwa wa anko mwendazake lakini nafsini nilikuwa najua anapigana vita nzito sana ya nje na ya ndani. Na approach aliyoitumia ya kuwa open book naamini alikuwa anajua kitu anachofanya ni suala la kufa ama kupona..

Kwa hiyo alijitahidi kuzuia kitu alichokiona kikimkaribia ila si kwamba hakujua. Alijua
!
 
Wanabodi,

Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina.

Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yangu, aliyetwaliwa. Japo hakuna binaadamu yeyote ajuaye sababu halisi za kutwaliwa kwake, isipokuwa YEYE mwenyewe pekee, ndie Aliyetoa, kisha Akatwa, ila kuna watu, “Saw It Coming!“ wakasema, wakapuuzwa, as a result, Kaka akatwaliwa!.

Sasa hao watu wenye jicho hilo la tatu, wanaviona viashiria vya same same likely scenario na wanasema kwa nia njema na dhamira safi ya kumsaidia huyu Dada.

Dada yangu mpenzi, nakuomba sana, ukisikia kitu, sio lazima ukizingatie kila utakacho sikia, maana utasikia vingapi?, ila sikiliza kila utakacho sikia, na ukiisikia sauti kutoka ndani yako, the voices from within, ikimwambia kitu, aifanyie tathmini hiyo sauti kama ni sauti ya YEYE Mwenyewe, au ni yeye tuu!, ikitokea ni sauti kwake YEYE, then, usiipuuzie!.

Leo asubuhi nikiwa bafuni naoga ili kwenda kwenye shughuli zangu, nikaisikia sauti, voices from within, ikiniambia, ukisikia kitu, mwambie tuu Dada yako, kuna watu wamemzunguka, wakimwimbia nyimbo za sifa na mapambio, huku wana jicho la tatu, kuna vitu wanaviona, hawamwambiii, wameamua kunyamaza, hawasemi ila ukweli wanaujua, na wana uwezo wa kumsaidia kwa kumwambia ukweli, ila wanachelea labda Dada atakasirika.

Sauti hiyo imeniambia Dada akiambiwa, akisikiliza, itamsaidia, ila akisikia akapuuza, yule YEYE, anaweza kufanya jambo!.

Paskali
Njaa inakusumbua ila usipuuzwe
 
Basi tuletee Mayala og kwenye hili .
Kwenye hili hoja zake alishazitoa hapahapa JF zaidi ya mwaka uliopita. Na baadae akachukua likizo mpaka haya ya CCM yalivyotokea bado yupo likizo. Akiibuka ni kwa wagombea wa 2030.
 
Wanabodi,

Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina.

Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yangu, aliyetwaliwa. Japo hakuna binaadamu yeyote ajuaye sababu halisi za kutwaliwa kwake, isipokuwa YEYE mwenyewe pekee, ndie Aliyetoa, kisha Akatwa, ila kuna watu, “Saw It Coming!“ wakasema, wakapuuzwa, as a result, Kaka akatwaliwa!.

Sasa hao watu wenye jicho hilo la tatu, wanaviona viashiria vya same same likely scenario na wanasema kwa nia njema na dhamira safi ya kumsaidia huyu Dada.

Dada yangu mpenzi, nakuomba sana, ukisikia kitu, sio lazima ukizingatie kila utakacho sikia, maana utasikia vingapi?, ila sikiliza kila utakacho sikia, na ukiisikia sauti kutoka ndani yako, the voices from within, ikimwambia kitu, aifanyie tathmini hiyo sauti kama ni sauti ya YEYE Mwenyewe, au ni yeye tuu!, ikitokea ni sauti kwake YEYE, then, usiipuuzie!.

Leo asubuhi nikiwa bafuni naoga ili kwenda kwenye shughuli zangu, nikaisikia sauti, voices from within, ikiniambia, ukisikia kitu, mwambie tuu Dada yako, kuna watu wamemzunguka, wakimwimbia nyimbo za sifa na mapambio, huku wana jicho la tatu, kuna vitu wanaviona, hawamwambiii, wameamua kunyamaza, hawasemi ila ukweli wanaujua, na wana uwezo wa kumsaidia kwa kumwambia ukweli, ila wanachelea labda Dada atakasirika.

Sauti hiyo imeniambia Dada akiambiwa, akisikiliza, itamsaidia, ila akisikia akapuuza, yule YEYE, anaweza kufanya jambo!.

Paskali
Lisu hawezi ingia ikulu
 
Back
Top Bottom