Japo hakuna ajuaye sababu za kutwaliwa kaka, isipokuwa yeye, kuna watu saw it coming, wakasema, wakapuuzwa, akatwaliwa. Dada ukisikia usipuuze hili

Japo hakuna ajuaye sababu za kutwaliwa kaka, isipokuwa yeye, kuna watu saw it coming, wakasema, wakapuuzwa, akatwaliwa. Dada ukisikia usipuuze hili

sidhani kama kuna sauti inayoweza kusikika kwake kwa sasa zaidi sifa njema kumuhusu.

hizo sifa jinsi zilivyo nyingi si rahisi sauti nyingine kupenya hadi kumfikia , labda sana ule msemo wa kenge kusikia kwake hadi damu zimtoke masikioni utakapotimia kwake.
 
Wanabodi,

Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina.

Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yangu, aliyetwaliwa. Japo hakuna binaadamu yeyote ajuaye sababu halisi za kutwaliwa kwake, isipokuwa YEYE mwenyewe pekee, ndie Aliyetoa, kisha Akatwa, ila kuna watu, “Saw It Coming!“ wakasema, wakapuuzwa, as a result, Kaka akatwaliwa!.

Sasa hao watu wenye jicho hilo la tatu, wanaviona viashiria vya same same likely scenario na wanasema kwa nia njema na dhamira safi ya kumsaidia huyu Dada.

Dada yangu mpenzi, nakuomba sana, ukisikia kitu, sio lazima ukizingatie kila utakacho sikia, maana utasikia vingapi?, ila sikiliza kila utakacho sikia, na ukiisikia sauti kutoka ndani yako, the voices from within, usiipuuzie!.

Leo asubuhi nikiwa bafuni naonga ili kwenda kwenye shughuli zangu, nikaisikia sauti, voices from within, ikiniambia, ukisikia kitu, mwambie tuu Dada yako, kuna watu wamemzunguka, wakimwimbia nyimbo za sifa na mapambio, huku wana jicho la tatu, kuna vitu wanaviona, hawamwambiii, wameamua kunyamaza, hawasemi ila ukweli wanaujua, na wana uwezo wa kumsaidia kwa kumwambia ukweli, ila wanachelea labda Dada atakasirika.

Sauti hiyo imeniambia Dada akiambiwa, akisikiliza, itamsaidia, ila akisikia akapuuza, ndio itakuwa....

Paskali
UKo sahihi, na mi nilisikia safari yake ilishapangwa long long time imepangwa atwaliwe kabla. ya dash dash dash
 
sidhani kama kuna sauti inayoweza kusikika kwake kwa sasa zaidi sifa njema kumuhusu.

hizo sifa jinsi zilivyo nyingi si rahisi sauti nyingine kupenya hadi kumfikia , labda sana ule msemo wa kenge kusikia kwake hadi damu zimtoke masikioni utakapotimia kwake.
Jangwani 2005 ilikuwa Hatari na Nusu 🐼
 
Naamini hakuna utakachokiona wewe kama third party yeye asikione na pengine unachokihofia pengine anakijua dhahiri kwa sababu hakuna lililotokea nyuma yeye asiwe na ufahamu nalo kama mtu mwenye nguvu aliyeketi katika meza ya maamuzi kwa muda mrefu pia.

Kuna mengi usioyajua, anayajua, kuna mengi anayopambana nayo, pengine huyajui.

Kwa hiyo picha unayoiona ndio uhalisia sahihi, aidha kama mtu ambaye ameshakubaliana na hali kwa sababu haikuwa dhamira yake kufika alipofika pasipo nguvu kubwa kumshikilia ama la ni sehemu ya mpango wake mkubwa zaidi kwa sababu pengine ana lengo tofauti na hicho kiti anachokikalia.

Kiufupi, acha wafu wazikane
Hizi kauli ndizo zilizomponza Mwendazake.
 
Wamzungukao Mfalme wamemjaza matope kichwani huku wakimwimbia nyimbo za kumsifu hata nguo alizovaa na hata kutembea kwake...na kumuumbia sifa hewa na kumtafutia vi-tuzo uchwara .. Behind The Scene..wakimwandalia anguko baya na asipokuwa makini atalia na kusaga meno !
 
Alishasema Yeye ni chura Kiziwi, sasa asikie nini tena? Kimsingi hapendeki na kwa sababu kajifanya kuwa chura Kiziwi Wacha aendelee kukumbatia yale anayoyapenda ili akili na moyo wake vifarijike. Hauwezi ukakubalika na kila lakini fanya mambo yatakayo Acha kumbukumbuku nzuri akilini mwa watu.
 
Back
Top Bottom