Japo hakuna ajuaye sababu za kutwaliwa kaka, isipokuwa yeye, kuna watu saw it coming, wakasema, wakapuuzwa, akatwaliwa. Dada ukisikia usipuuze hili

Kwa hiyo dada yako atatwaliwa Mkuu??

Ni lazima itakua hivyo lakini nadhani sio kwa sababu hizo ulizosema bali sababu kubwa itakua ni "nature" kama watu wengine, mimi na wewe, pale YEYE atakapoamua awe yeye wa kutwaliwa siku ya YEYE!
 
Hakika kabisa kaka yangu Pascal
 
Hizi kauli ndizo zilizomponza Mwendazake.
Sikuwa fan mkubwa wa anko mwendazake lakini nafsini nilikuwa najua anapigana vita nzito sana ya nje na ya ndani. Na approach aliyoitumia ya kuwa open book naamini alikuwa anajua kitu anachofanya ni suala la kufa ama kupona..

Kwa hiyo alijitahidi kuzuia kitu alichokiona kikimkaribia ila si kwamba hakujua. Alijua
 
Rais wako baada ya October 2025 ni Samia Suluhu Hassan….. you can take it to the bank.
 
Wananchi kupitia TANU ndo walimwondoa mkoloni…. Acheni kujidanganya kuwa yupo mjomba wa kufanya kwaajili yenu….
 
Nyie wachawi habari zenu,Mnajifanya watabiri kumbe Wanga tu hamna lolote .Lengo lenu kuwatia watu jakamoyo lakini hamfanikiwi kamwe.Mnajifanya kuongea kwa mafumbo ili muonekana mna jambo la maana lakini ni namna ya kujifurahisha tu.
 
Hili jambobona limeimbwa sana?
Kwa hali hii tunaelekea wapi?
Kwanini hivi?
 
Bold: Kwamba sababu tulizopewa kutwaliwa kwake hazikiwa sahihi?
 
Yatatokea yote!!
 
Kuna mwaka nadhani way back uliandika Jpm ndo Rais ajaye..tukakunyali sana ..kupitia mabandiko yako mimi ni nani nikatae!..wafanye haraka kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…