Japo hakuna ajuaye sababu za kutwaliwa kaka, isipokuwa yeye, kuna watu saw it coming, wakasema, wakapuuzwa, akatwaliwa. Dada ukisikia usipuuze hili

Kuna uhusiano gani kati ya bafu, wakati wa kuoga na maono, hiyo Sauti tulivu, nyororo from within!!?? Siongelei hili la dada mkubwa, bali general life experience! Nami kuna maono, Saudi hiyo nyororo, tulivu haswa, huja sicleo tangu huko nyuma nikiwa kijana na sasa ni sawa na Mzee!
 
Kwa hiyo dada yako atatwaliwa Mkuu??

Ni lazima itakua hivyo lakini nadhani sio kwa sababu hizo ulizosema bali sababu kubwa itakua ni "nature" kama watu wengine, mimi na wewe, pale YEYE atakapoamua awe yeye wa kutwaliwa siku ya YEYE!
'nature' haswa maana hata lile kundi kutwaliwa ni nature pia so ni cause-effect series
 
Mitaa yote tatizo vyama vingi vimewekeza mitandaoni na press conference za kishamba na kiki huku wenzenu CCM wanaweka nguvu kubwa mitaani
We jamaa utakua umejazwa maneno na hao unaojadili nao haya mambo na wewe unayabeba kama yalivyo na kuyawasilisha kwa watu,

take time fuatilia mambo yachanganue kwa akili zako mwenyewe Acha ujinga kubeba maneno ya kukalilishwa kama rofa


Hao unaosema wanakubalika ndo kila uchaguzi wanatimua dola kupora uchaguzi/wizi wa kura na kuua wapinzani
 
Nataka ni comment kitu, lakini ngoja kwanza.
 
Mnawaza wenzenu wafe binadamu nyie.
Kuwakababi kwa maneno hamuwezi ila mnawaza wafe.
Mimi Naomba abaki duniani,ili yeye na kizazazi chake waonje joto ya jiwe
Walishasema Kifo ni Kifo, kama vifo vya wengine havikuwaumiza wakadhiak kwamba watu wengi wanakufa kwanini wengine waumizwe na vifo vyao?
 
Utakuwa kichaa ukisema Lisu alishinda 2020 labda lowasa 2015 anaweza kuwa alishinda au alikaribia.

Kama wananchi wangekuwa wameichoka CCM kiasi hicho waeandama mpaka kufa kama msumbiji
Usiwe mjinga, sizungumzii mshindi nazungumzia ushindi halali. Sina tatizo na aliyeshinda, nina tatizo na alishinda vipi.
 
Alietwaliwa -Alieuwawa,kufaliki au Kufa
YEYE Mwenyewe pekee - Mwenyezimungu au Mungu
Yule kaka yangu - huyu ni yule Mwendazake(apunzike kwa amani).
Huyu Dada - Chief Angai
Yule YEYE - Basi na Mkome msitake kilakitu mtafuniwe😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…