Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Pascal Mayalla YEYE ni yeye na hivi yupo PEKEE... Ngoja tuone🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unataka kusema CCM haifanyi Press!!Mitaa yote tatizo vyama vingi vimewekeza mitandaoni na press conference za kishamba na kiki huku wenzenu CCM wanaweka nguvu kubwa mitaani
Amesema sisi tunafanya press za kishamba na kiki..amesahau hayo maccm bila masanii mambo hayaendiWewe unataka kusema CCM haifanyi Press!!
'nature' haswa maana hata lile kundi kutwaliwa ni nature pia so ni cause-effect seriesKwa hiyo dada yako atatwaliwa Mkuu??
Ni lazima itakua hivyo lakini nadhani sio kwa sababu hizo ulizosema bali sababu kubwa itakua ni "nature" kama watu wengine, mimi na wewe, pale YEYE atakapoamua awe yeye wa kutwaliwa siku ya YEYE!
Tatizo Kuna (Ashakhum si matusi) mabwege fulani hivi wanataka kuonesha CCM imetoka mbinguni na imeumbwa ili iwatawale watanzania.Amesema sisi tunafanya press za kishamba na kiki..amesahau hayo maccm bila masanii mambo hayaendi
Mabwege mshindo kamaTatizo Kuna (Ashakhum si matusi) mabwege fulani hivi wanataka kuonesha CCM imetoka mbinguni na imeumbwa ili iwatawale watanzania.
Yupo njiani kujaNatamani aje kutokea rais ambae wazi wazi aseme sihitaji mapambio ya kunisifu kiboya(si hitaji Machawa)
We jamaa utakua umejazwa maneno na hao unaojadili nao haya mambo na wewe unayabeba kama yalivyo na kuyawasilisha kwa watu,Mitaa yote tatizo vyama vingi vimewekeza mitandaoni na press conference za kishamba na kiki huku wenzenu CCM wanaweka nguvu kubwa mitaani
Nataka ni comment kitu, lakini ngoja kwanza.Wanabodi,
Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina.
Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yangu, aliyetwaliwa. Japo hakuna binaadamu yeyote ajuaye sababu halisi za kutwaliwa kwake, isipokuwa YEYE mwenyewe pekee, ndie Aliyetoa, kisha Akatwa, ila kuna watu, “Saw It Coming!“ wakasema, wakapuuzwa, as a result, Kaka akatwaliwa!.
Sasa hao watu wenye jicho hilo la tatu, wanaviona viashiria vya same same likely scenario na wanasema kwa nia njema na dhamira safi ya kumsaidia huyu Dada.
Dada yangu mpenzi, nakuomba sana, ukisikia kitu, sio lazima ukizingatie kila utakacho sikia, maana utasikia vingapi?, ila sikiliza kila utakacho sikia, na ukiisikia sauti kutoka ndani yako, the voices from within, ikimwambia kitu, aifanyie tathmini hiyo sauti kama ni sauti ya YEYE Mwenyewe, au ni yeye tuu!, ikitokea ni sauti kwake YEYE, then, usiipuuzie!.
Leo asubuhi nikiwa bafuni naonga ili kwenda kwenye shughuli zangu, nikaisikia sauti, voices from within, ikiniambia, ukisikia kitu, mwambie tuu Dada yako, kuna watu wamemzunguka, wakimwimbia nyimbo za sifa na mapambio, huku wana jicho la tatu, kuna vitu wanaviona, hawamwambiii, wameamua kunyamaza, hawasemi ila ukweli wanaujua, na wana uwezo wa kumsaidia kwa kumwambia ukweli, ila wanachelea labda Dada atakasirika.
Sauti hiyo imeniambia Dada akiambiwa, akisikiliza, itamsaidia, ila akisikia akapuuza, yule YEYE, anaweza kufanya jambo!.
Paskali
Walishasema Kifo ni Kifo, kama vifo vya wengine havikuwaumiza wakadhiak kwamba watu wengi wanakufa kwanini wengine waumizwe na vifo vyao?Mnawaza wenzenu wafe binadamu nyie.
Kuwakababi kwa maneno hamuwezi ila mnawaza wafe.
Mimi Naomba abaki duniani,ili yeye na kizazazi chake waonje joto ya jiwe
Usiwe mjinga, sizungumzii mshindi nazungumzia ushindi halali. Sina tatizo na aliyeshinda, nina tatizo na alishinda vipi.Utakuwa kichaa ukisema Lisu alishinda 2020 labda lowasa 2015 anaweza kuwa alishinda au alikaribia.
Kama wananchi wangekuwa wameichoka CCM kiasi hicho waeandama mpaka kufa kama msumbiji
Kwani umemsikia huyo mwendazake analalamika juu ya mtu au watu huko alipo?Hizi kauli ndizo zilizomponza Mwendazake.
Alietwaliwa -Alieuwawa,kufaliki au KufaWanabodi,