maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,749
- 2,319
Vipi wakiamua kumwachia Mungu tena?Wanajua wataiba kura na watanzania watakaa kimya .
Option ya kwanza sote kwa pamoja tuikatae na kuizuia isitokee TENA katika UUNGU WA UMOJA WETU kwa sababu sisi ni NGUVU, NISHATI, UWEZO na MAMLAKA kamili bali option ya pili ifanyike kwa UPENDO, tena UPENDO mkamilifu usio na mawaa wala hila hata doa lolote. UPENDO WENYE NURU utashinda yote 2025.Paschal hasipuuzwe hata kidogo!!
Binafsi najua Kuna vitu viwili hatari vinaweza tokea mwaka huu 2025!!
1: Cha kwanza ni Kifo Cha kiongozi wa juu zaidi Kama ulivyokuwa 2021 baada ya uchaguzi.
2: Hiyo option ya kwanza ikifeli ya pili ni kumsimika mwenyekiti mpya wa chama Cha pembeni kuwa ndiye mwenye kiti kikuu!!!
Wenye kuiponya Tanzania fanyeni Jambo kabla Mambo hayajaaribika zaidi maana sasahv nchi inajiendesha tu bila mwelekeo!!
Mwenyekiti wa Chama kikubwa kabisa barani Afrika ni yeye yule kweli !!Paschal hasipuuzwe hata kidogo!!
Binafsi najua Kuna vitu viwili hatari vinaweza tokea mwaka huu 2025!!
1: Cha kwanza ni Kifo Cha kiongozi wa juu zaidi Kama ulivyokuwa 2021 baada ya uchaguzi.
2: Hiyo option ya kwanza ikifeli ya pili ni kumsimika mwenyekiti mpya wa chama Cha pembeni kuwa ndiye mwenye kiti kikuu!!!
Wenye kuiponya Tanzania fanyeni Jambo kabla Mambo hayajaaribika zaidi maana sasahv nchi inajiendesha tu bila mwelekeo!!
Hili jambo kama lipo basi liwahi kabla ya October. Watakuwa wameisaidia nchi maana inakoelekea kama dada Yako atasimikwa mitano tena nchi inabaki mifupa mitupuWanabodi,
Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina.
Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yangu, aliyetwaliwa. Japo hakuna binaadamu yeyote ajuaye sababu halisi za kutwaliwa kwake, isipokuwa YEYE mwenyewe pekee, ndie Aliyetoa, kisha Akatwa, ila kuna watu, “Saw It Coming!“ wakasema, wakapuuzwa, as a result, Kaka akatwaliwa!.
Sasa hao watu wenye jicho hilo la tatu, wanaviona viashiria vya same same likely scenario na wanasema kwa nia njema na dhamira safi ya kumsaidia huyu Dada.
Dada yangu mpenzi, nakuomba sana, ukisikia kitu, sio lazima ukizingatie kila utakacho sikia, maana utasikia vingapi?, ila sikiliza kila utakacho sikia, na ukiisikia sauti kutoka ndani yako, the voices from within, ikimwambia kitu, aifanyie tathmini hiyo sauti kama ni sauti ya YEYE Mwenyewe, au ni yeye tuu!, ikitokea ni sauti kwake YEYE, then, usiipuuzie!.
Leo asubuhi nikiwa bafuni naoga ili kwenda kwenye shughuli zangu, nikaisikia sauti, voices from within, ikiniambia, ukisikia kitu, mwambie tuu Dada yako, kuna watu wamemzunguka, wakimwimbia nyimbo za sifa na mapambio, huku wana jicho la tatu, kuna vitu wanaviona, hawamwambiii, wameamua kunyamaza, hawasemi ila ukweli wanaujua, na wana uwezo wa kumsaidia kwa kumwambia ukweli, ila wanachelea labda Dada atakasirika.
Sauti hiyo imeniambia Dada akiambiwa, akisikiliza, itamsaidia, ila akisikia akapuuza, yule YEYE, anaweza kufanya jambo!.
Paskali
... Demokrasia tarajia lolote, MOVE WITH TIME!Nilimwambia jamaa mmoja mwaka huu tutashuhudia tusilolitatajia kabisa
DuhHivi maiti ya braza ilipitishwa Kanda ya kaskazini?
Hapo P,usiachekumtembelea na Ze Bulldozer.Wanabodi,
Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina.
Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yangu, aliyetwaliwa. Japo hakuna binaadamu yeyote ajuaye sababu halisi za kutwaliwa kwake, isipokuwa YEYE mwenyewe pekee, ndie Aliyetoa, kisha Akatwa, ila kuna watu, “Saw It Coming!“ wakasema, wakapuuzwa, as a result, Kaka akatwaliwa!.
Sasa hao watu wenye jicho hilo la tatu, wanaviona viashiria vya same same likely scenario na wanasema kwa nia njema na dhamira safi ya kumsaidia huyu Dada.
Dada yangu mpenzi, nakuomba sana, ukisikia kitu, sio lazima ukizingatie kila utakacho sikia, maana utasikia vingapi?, ila sikiliza kila utakacho sikia, na ukiisikia sauti kutoka ndani yako, the voices from within, ikimwambia kitu, aifanyie tathmini hiyo sauti kama ni sauti ya YEYE Mwenyewe, au ni yeye tuu!, ikitokea ni sauti kwake YEYE, then, usiipuuzie!.
Leo asubuhi nikiwa bafuni naoga ili kwenda kwenye shughuli zangu, nikaisikia sauti, voices from within, ikiniambia, ukisikia kitu, mwambie tuu Dada yako, kuna watu wamemzunguka, wakimwimbia nyimbo za sifa na mapambio, huku wana jicho la tatu, kuna vitu wanaviona, hawamwambiii, wameamua kunyamaza, hawasemi ila ukweli wanaujua, na wana uwezo wa kumsaidia kwa kumwambia ukweli, ila wanachelea labda Dada atakasirika.
Sauti hiyo imeniambia Dada akiambiwa, akisikiliza, itamsaidia, ila akisikia akapuuza, yule YEYE, anaweza kufanya jambo!.
Paskali
CCM wanachama wake wakifika milioni 2 itakuwa ajabu. Kama wangekuwa wengi kiasi hicho mahangaiko ya kuiba kura yanatokana na nini?CCM inawanachama hai million 20 hao pekee wanatosha kuhalalisha ushindi
😃😀😆😄😅Vipi wakiamua kumwachia Mungu tena?
Atwaliwe tu kwani ndiyo itakuwa furaha ya wengi(majority).Wanabodi,
Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina.
Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yangu, aliyetwaliwa. Japo hakuna binaadamu yeyote ajuaye sababu halisi za kutwaliwa kwake, isipokuwa YEYE mwenyewe pekee, ndie Aliyetoa, kisha Akatwa, ila kuna watu, “Saw It Coming!“ wakasema, wakapuuzwa, as a result, Kaka akatwaliwa!.
Sasa hao watu wenye jicho hilo la tatu, wanaviona viashiria vya same same likely scenario na wanasema kwa nia njema na dhamira safi ya kumsaidia huyu Dada.
Dada yangu mpenzi, nakuomba sana, ukisikia kitu, sio lazima ukizingatie kila utakacho sikia, maana utasikia vingapi?, ila sikiliza kila utakacho sikia, na ukiisikia sauti kutoka ndani yako, the voices from within, ikimwambia kitu, aifanyie tathmini hiyo sauti kama ni sauti ya YEYE Mwenyewe, au ni yeye tuu!, ikitokea ni sauti kwake YEYE, then, usiipuuzie!.
Leo asubuhi nikiwa bafuni naoga ili kwenda kwenye shughuli zangu, nikaisikia sauti, voices from within, ikiniambia, ukisikia kitu, mwambie tuu Dada yako, kuna watu wamemzunguka, wakimwimbia nyimbo za sifa na mapambio, huku wana jicho la tatu, kuna vitu wanaviona, hawamwambiii, wameamua kunyamaza, hawasemi ila ukweli wanaujua, na wana uwezo wa kumsaidia kwa kumwambia ukweli, ila wanachelea labda Dada atakasirika.
Sauti hiyo imeniambia Dada akiambiwa, akisikiliza, itamsaidia, ila akisikia akapuuza, yule YEYE, anaweza kufanya jambo!.
Paskali
Mimi ni mmoja kati ya wale waliotabiri yaliyotokea, kuna watu humu waliniuliza swali gumu hivi, "ulijuaje?", sikuwapa jibu!Wanabodi,

Huyu ni Mayalla fake. Mayalla halisi nianayemjua mimi yuko LIKIZO. Na atarudi kazini mwaka 2029, kutabiri ya 2030.Si mchezo huyo ndio Mayalla
YEYE yuko kazini acha aamue kwa hakiWanabodi,
Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina.
Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yangu, aliyetwaliwa. Japo hakuna binaadamu yeyote ajuaye sababu halisi za kutwaliwa kwake, isipokuwa YEYE mwenyewe pekee, ndie Aliyetoa, kisha Akatwa, ila kuna watu, “Saw It Coming!“ wakasema, wakapuuzwa, as a result, Kaka akatwaliwa!.
Sasa hao watu wenye jicho hilo la tatu, wanaviona viashiria vya same same likely scenario na wanasema kwa nia njema na dhamira safi ya kumsaidia huyu Dada.
Dada yangu mpenzi, nakuomba sana, ukisikia kitu, sio lazima ukizingatie kila utakacho sikia, maana utasikia vingapi?, ila sikiliza kila utakacho sikia, na ukiisikia sauti kutoka ndani yako, the voices from within, ikimwambia kitu, aifanyie tathmini hiyo sauti kama ni sauti ya YEYE Mwenyewe, au ni yeye tuu!, ikitokea ni sauti kwake YEYE, then, usiipuuzie!.
Leo asubuhi nikiwa bafuni naoga ili kwenda kwenye shughuli zangu, nikaisikia sauti, voices from within, ikiniambia, ukisikia kitu, mwambie tuu Dada yako, kuna watu wamemzunguka, wakimwimbia nyimbo za sifa na mapambio, huku wana jicho la tatu, kuna vitu wanaviona, hawamwambiii, wameamua kunyamaza, hawasemi ila ukweli wanaujua, na wana uwezo wa kumsaidia kwa kumwambia ukweli, ila wanachelea labda Dada atakasirika.
Sauti hiyo imeniambia Dada akiambiwa, akisikiliza, itamsaidia, ila akisikia akapuuza, yule YEYE, anaweza kufanya jambo!.
Paskali
Fukua nyuzi tuamini mkuuMimi ni mmoja kati ya wale waliotabiri yaliyotokea, kuna watu humu waliniuliza swali gumu hivi, "ulijuaje?", sikuwapa jibu!
Hao ni wale wenye akili ya ufahamu ndogo mno.Kipo sana ni wewe kuiaminisha ubongo wako tu
"The voice from within" imechelewa au data zake za AI zimehakiwa na virusi. Kwa sababu sasa hivi wakubwa wapo busy na mwaka 2030, kwani ya 2025 yameshakwisha kwa chama hiki.Mwaka wa uchaguzi , Kuna mambo mengi Sana. Lakini ngojea tuone " the voice from within " inamwambia nini
Shida sio wala huko nje ,,,shida ni ya ndani kwa ndani.......,,,maana kuna waliolianzisha bila kujua vizuri jamaa alijipanga mapema, kuna kete alitanguliza na ilikua kama mtego na kweli watu wakaingia mtegoni kama alivyofikiria,,,,,watu watachelewesha muda tu ila lililopangwa kulikwepa gumuHuu mchezo mlioanzisha kamwe hautawaacha salama. Mambo ya kutawala bila ridhaa ya wananchi yatawaumiza sana. Piteni na huyu hadi akili iwakae vizuri.
Tatizo mnaleta tuhuma zisizo na ushahidi wewe unahisi wangekuwa wanaiba kula wananchi wangekubali?CCM wanachama wake wakifika milioni 2 itakuwa ajabu. Kama wangekuwa wengi kiasi hicho mahangaiko ya kuiba kura yanatokana na nini?
Cham chenye wanachama wengi hivyo kingekuwa na mhaho wakati wa uchaguzi?