Japo hakuna ajuaye sababu za kutwaliwa kaka, isipokuwa yeye, kuna watu saw it coming, wakasema, wakapuuzwa, akatwaliwa. Dada ukisikia usipuuze hili

Paschal hasipuuzwe hata kidogo!!

Binafsi najua Kuna vitu viwili hatari vinaweza tokea mwaka huu 2025!!

1: Cha kwanza ni Kifo Cha kiongozi wa juu zaidi Kama ulivyokuwa 2021 baada ya uchaguzi.

2: Hiyo option ya kwanza ikifeli ya pili ni kumsimika mwenyekiti mpya wa chama Cha pembeni kuwa ndiye mwenye kiti kikuu!!!

Wenye kuiponya Tanzania fanyeni Jambo kabla Mambo hayajaaribika zaidi maana sasahv nchi inajiendesha tu bila mwelekeo!!
Option ya kwanza sote kwa pamoja tuikatae na kuizuia isitokee TENA katika UUNGU WA UMOJA WETU kwa sababu sisi ni NGUVU, NISHATI, UWEZO na MAMLAKA kamili bali option ya pili ifanyike kwa UPENDO, tena UPENDO mkamilifu usio na mawaa wala hila hata doa lolote. UPENDO WENYE NURU utashinda yote 2025.
 
Tutasema na kubuni mambo mengi sana ila issue ya Tanganyika ndio Kaa la moto sana rohoni mwa watu wengi.
Watawala hawakubali Ukweli mchungu sana ulio Hadharani .
Kulikuwa na Nafasi nzuri kabisa ya kusimama na Kuanza Upya gwaride.
Upofu au Ubishi wa kutaka kutoa Amri ya kwenda Hivyo hivyo ,ndio tuna kwenda kupitisha Vikosi mbele ya Wakuu Kila mtu akirusha Miguu ki vyake!
 
Paschal hasipuuzwe hata kidogo!!

Binafsi najua Kuna vitu viwili hatari vinaweza tokea mwaka huu 2025!!

1: Cha kwanza ni Kifo Cha kiongozi wa juu zaidi Kama ulivyokuwa 2021 baada ya uchaguzi.

2: Hiyo option ya kwanza ikifeli ya pili ni kumsimika mwenyekiti mpya wa chama Cha pembeni kuwa ndiye mwenye kiti kikuu!!!

Wenye kuiponya Tanzania fanyeni Jambo kabla Mambo hayajaaribika zaidi maana sasahv nchi inajiendesha tu bila mwelekeo!!
Mwenyekiti wa Chama kikubwa kabisa barani Afrika ni yeye yule kweli !!
Yaani si bora angekua ni mjumbe wa halmashauri kuu.
Kichekesho zaidi makamu wake ni yule aliyekua ameshinda uchaguzi kwa Rushwa na Hukumu ikatoka mahakamani na akatiwa hatiani kwa rushwa .
Leo ndiye makamu wa Mwenyekiti wa Chama Mzee Kuzira .

Yaani Sungura kammeza Tembo.

Kwa nini lakini CCM wametufanyia hivi . Hii ni daharau kwa Watanganyika zaidi ya mil. 60 na vizazi vyao vyote .
 
Wanabodi,

Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina.

Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yangu, aliyetwaliwa. Japo hakuna binaadamu yeyote ajuaye sababu halisi za kutwaliwa kwake, isipokuwa YEYE mwenyewe pekee, ndie Aliyetoa, kisha Akatwa, ila kuna watu, “Saw It Coming!“ wakasema, wakapuuzwa, as a result, Kaka akatwaliwa!.

Sasa hao watu wenye jicho hilo la tatu, wanaviona viashiria vya same same likely scenario na wanasema kwa nia njema na dhamira safi ya kumsaidia huyu Dada.

Dada yangu mpenzi, nakuomba sana, ukisikia kitu, sio lazima ukizingatie kila utakacho sikia, maana utasikia vingapi?, ila sikiliza kila utakacho sikia, na ukiisikia sauti kutoka ndani yako, the voices from within, ikimwambia kitu, aifanyie tathmini hiyo sauti kama ni sauti ya YEYE Mwenyewe, au ni yeye tuu!, ikitokea ni sauti kwake YEYE, then, usiipuuzie!.

Leo asubuhi nikiwa bafuni naoga ili kwenda kwenye shughuli zangu, nikaisikia sauti, voices from within, ikiniambia, ukisikia kitu, mwambie tuu Dada yako, kuna watu wamemzunguka, wakimwimbia nyimbo za sifa na mapambio, huku wana jicho la tatu, kuna vitu wanaviona, hawamwambiii, wameamua kunyamaza, hawasemi ila ukweli wanaujua, na wana uwezo wa kumsaidia kwa kumwambia ukweli, ila wanachelea labda Dada atakasirika.

Sauti hiyo imeniambia Dada akiambiwa, akisikiliza, itamsaidia, ila akisikia akapuuza, yule YEYE, anaweza kufanya jambo!.

Paskali
Hili jambo kama lipo basi liwahi kabla ya October. Watakuwa wameisaidia nchi maana inakoelekea kama dada Yako atasimikwa mitano tena nchi inabaki mifupa mitupu
 
Wanabodi,

Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina.

Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yangu, aliyetwaliwa. Japo hakuna binaadamu yeyote ajuaye sababu halisi za kutwaliwa kwake, isipokuwa YEYE mwenyewe pekee, ndie Aliyetoa, kisha Akatwa, ila kuna watu, “Saw It Coming!“ wakasema, wakapuuzwa, as a result, Kaka akatwaliwa!.

Sasa hao watu wenye jicho hilo la tatu, wanaviona viashiria vya same same likely scenario na wanasema kwa nia njema na dhamira safi ya kumsaidia huyu Dada.

Dada yangu mpenzi, nakuomba sana, ukisikia kitu, sio lazima ukizingatie kila utakacho sikia, maana utasikia vingapi?, ila sikiliza kila utakacho sikia, na ukiisikia sauti kutoka ndani yako, the voices from within, ikimwambia kitu, aifanyie tathmini hiyo sauti kama ni sauti ya YEYE Mwenyewe, au ni yeye tuu!, ikitokea ni sauti kwake YEYE, then, usiipuuzie!.

Leo asubuhi nikiwa bafuni naoga ili kwenda kwenye shughuli zangu, nikaisikia sauti, voices from within, ikiniambia, ukisikia kitu, mwambie tuu Dada yako, kuna watu wamemzunguka, wakimwimbia nyimbo za sifa na mapambio, huku wana jicho la tatu, kuna vitu wanaviona, hawamwambiii, wameamua kunyamaza, hawasemi ila ukweli wanaujua, na wana uwezo wa kumsaidia kwa kumwambia ukweli, ila wanachelea labda Dada atakasirika.

Sauti hiyo imeniambia Dada akiambiwa, akisikiliza, itamsaidia, ila akisikia akapuuza, yule YEYE, anaweza kufanya jambo!.

Paskali
Hapo P,usiachekumtembelea na Ze Bulldozer.
 
Atwaliwe tu kwani ndiyo itakuwa furaha ya wengi(majority).
Though I don't believe in your 'jicho la tatu' or 'voice from within' or whatever you call it ila akitwaliwa frankly speaking it'll be a relief to the majority but so sad kwa ndugu, jamaa na marifiki.
 
Wanabodi,

Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina.

Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yangu, aliyetwaliwa. Japo hakuna binaadamu yeyote ajuaye sababu halisi za kutwaliwa kwake, isipokuwa YEYE mwenyewe pekee, ndie Aliyetoa, kisha Akatwa, ila kuna watu, “Saw It Coming!“ wakasema, wakapuuzwa, as a result, Kaka akatwaliwa!.

Sasa hao watu wenye jicho hilo la tatu, wanaviona viashiria vya same same likely scenario na wanasema kwa nia njema na dhamira safi ya kumsaidia huyu Dada.

Dada yangu mpenzi, nakuomba sana, ukisikia kitu, sio lazima ukizingatie kila utakacho sikia, maana utasikia vingapi?, ila sikiliza kila utakacho sikia, na ukiisikia sauti kutoka ndani yako, the voices from within, ikimwambia kitu, aifanyie tathmini hiyo sauti kama ni sauti ya YEYE Mwenyewe, au ni yeye tuu!, ikitokea ni sauti kwake YEYE, then, usiipuuzie!.

Leo asubuhi nikiwa bafuni naoga ili kwenda kwenye shughuli zangu, nikaisikia sauti, voices from within, ikiniambia, ukisikia kitu, mwambie tuu Dada yako, kuna watu wamemzunguka, wakimwimbia nyimbo za sifa na mapambio, huku wana jicho la tatu, kuna vitu wanaviona, hawamwambiii, wameamua kunyamaza, hawasemi ila ukweli wanaujua, na wana uwezo wa kumsaidia kwa kumwambia ukweli, ila wanachelea labda Dada atakasirika.

Sauti hiyo imeniambia Dada akiambiwa, akisikiliza, itamsaidia, ila akisikia akapuuza, yule YEYE, anaweza kufanya jambo!.

Paskali
Mimi ni mmoja kati ya wale waliotabiri yaliyotokea, kuna watu humu waliniuliza swali gumu hivi, "ulijuaje?", sikuwapa jibu!
 
YEYE yuko kazini acha aamue kwa haki
 
Kipo sana ni wewe kuiaminisha ubongo wako tu
Hao ni wale wenye akili ya ufahamu ndogo mno.
Wao wanadhani Madaktari maofisini, wahandisi, wahadhiri, Askari jeshi na mapolisi, waalimu nk ni mali ya CCM hivyo Chadema itaongozaje nchi bila hao?
Sasa majitu yasiyojua kuwa watumishi wa serikali ni wa umma unadhani wataelewa lolote?
Mwanzo nilidhani ni products za shule kata kumbe ni uccm tu ndio ujinga wenyewe
 
Mwaka wa uchaguzi , Kuna mambo mengi Sana. Lakini ngojea tuone " the voice from within " inamwambia nini
"The voice from within" imechelewa au data zake za AI zimehakiwa na virusi. Kwa sababu sasa hivi wakubwa wapo busy na mwaka 2030, kwani ya 2025 yameshakwisha kwa chama hiki.

Mazungumzo ya 2025 yapo kwa vyama viwili vya upinzani. Kwani hawajui kama watashiriki au watasusia.
 
Huu mchezo mlioanzisha kamwe hautawaacha salama. Mambo ya kutawala bila ridhaa ya wananchi yatawaumiza sana. Piteni na huyu hadi akili iwakae vizuri.
Shida sio wala huko nje ,,,shida ni ya ndani kwa ndani.......,,,maana kuna waliolianzisha bila kujua vizuri jamaa alijipanga mapema, kuna kete alitanguliza na ilikua kama mtego na kweli watu wakaingia mtegoni kama alivyofikiria,,,,,watu watachelewesha muda tu ila lililopangwa kulikwepa gumu
 
CCM wanachama wake wakifika milioni 2 itakuwa ajabu. Kama wangekuwa wengi kiasi hicho mahangaiko ya kuiba kura yanatokana na nini?

Cham chenye wanachama wengi hivyo kingekuwa na mhaho wakati wa uchaguzi?
Tatizo mnaleta tuhuma zisizo na ushahidi wewe unahisi wangekuwa wanaiba kula wananchi wangekubali?
 
Back
Top Bottom