Japo hakuna ajuaye sababu za kutwaliwa kaka, isipokuwa yeye, kuna watu saw it coming, wakasema, wakapuuzwa, akatwaliwa. Dada ukisikia usipuuze hili

Option ya 2 ni ngumu......ndo maana katika mapambano yote yanayoendelea hilo la kuzuia hio option ya 2 lipo palepale..........kule anaweza akatoka mtu akakaa mtu ila hawatakuja kufikiria option ya 2 hata kama kila atakaekalia hio nafasi atakutwa na jambo.....,,,maana wanajua shida ilipo na ni watu gani waliianzisha kwahio hadi pakae level sawa hukohuko ndani ndo hayo mambo yataisha
 
Kama ni kweli hilo tukio litawezekana basi
huo utaratibu wa kutwaliana utakuwa ni mtindo endelevu!

Nini sasa kifanyike kuondoa huu utaratibu wa umwagaji damu kwa viongoz wetu waliolewa madaraka?
 
Kwa hakika kutwaliwq kwake kwaja mapema kuliko ilivyotabiriwa awali!
 
Huyo dada yako wamtwae tu nayeye ! Kwahiyo huo mji wenu si utakuwa wa kutwaliwa tu sasa? Nani atabaki? Vipi kuhisu mtwaaji! Kwanini msimtwae mapema kabla yakuwatwaa mji ukafa au dada yako amepumbazika nakelele za wala wali hapo kwake? Dada yako anafanya sana sherehe za ukoo mwambie apunguze wanaukoo amewabwetesha na yeye amebweteka.mimi nijirani yenu sipendi tabia za hapo kwenu.
 
Cha kutegewa nacho ni siku imefika kutekwa n.k
 
Kama ni kweli hilo tukio litawezekana basi
huo utaratibu wa kutwaliana utakuwa ni mtindo endelevu!

Nini sasa kifanyike kuondoa huu utaratibu wa umwagaji damu kwa viongoz wetu waliolewa madaraka?
Tatizo ni damu wanazomwaga ovyo
 

Dada yako naona siku hizi anafanya ishara kama ya "Nitakupigia nitakupigia" means hataki kusikiliza.
 

Tatizo dada huwa akiambiwa ukweli anakasirika na kusuta watu majukwaani...
 
Leta ushahidi acha porojo
Kwanza kabisa idadi ya wapiga kura ilikuwa ya kupika. Watanzania tupo 62m kwa mujibu wa sensa ya 2022. Ikasemekana waliojiandika kupiga kura ni 30m? Toka lini watu wazima idadi yao ikalingana na watu wazima? Niendelee au nikuache uchakate kwanza hiyo?
 
Kwaiyo hizo ni hisia zako binafsi kwani sensa ilifanyika lini na uchaguzi ulifanyika lini?
 
Kwa bahati mbaya hujui kitu kinaitwa ulevi wa madaraka
 
Tatizo Dada mtu anajiona kama ndio "YULE YEYE"
 
Kwaiyo hizo ni hisia zako binafsi kwani sensa ilifanyika lini na uchaguzi ulifanyika lini?
Naona akili yako ni ndogo, sensa ilifanyika baada ya uchaguzi, kwa maana idadi ilipaswa kuwa ndogo zaidi. Nikusaidie kwa maneno marahisi ili uelewe, yaani kila watanzania wawili, mmoja alijiandikisha kupiga kura! Je ukweli huo unauona? Kama idadi ya wapiga kura ilipikwa, mqtokeao una uhakika gani yalikuwa halali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…