Japo hakuna ajuaye sababu za kutwaliwa kaka, isipokuwa yeye, kuna watu saw it coming, wakasema, wakapuuzwa, akatwaliwa. Dada ukisikia usipuuze hili

Option ya kwanza sote kwa pamoja tuikatae na kuizuia isitokee TENA katika UUNGU WA UMOJA WETU kwa sababu sisi ni NGUVU, NISHATI, UWEZO na MAMLAKA kamili bali option ya pili ifanyike kwa UPENDO, tena UPENDO mkamilifu usio na mawaa wala hila hata doa lolote. UPENDO WENYE NURU utashinda yote 2025.
Option ya 2 ni ngumu......ndo maana katika mapambano yote yanayoendelea hilo la kuzuia hio option ya 2 lipo palepale..........kule anaweza akatoka mtu akakaa mtu ila hawatakuja kufikiria option ya 2 hata kama kila atakaekalia hio nafasi atakutwa na jambo.....,,,maana wanajua shida ilipo na ni watu gani waliianzisha kwahio hadi pakae level sawa hukohuko ndani ndo hayo mambo yataisha
 
Kama ni kweli hilo tukio litawezekana basi
huo utaratibu wa kutwaliana utakuwa ni mtindo endelevu!

Nini sasa kifanyike kuondoa huu utaratibu wa umwagaji damu kwa viongoz wetu waliolewa madaraka?
 
Wanabodi,

Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina.

Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yangu, aliyetwaliwa. Japo hakuna binaadamu yeyote ajuaye sababu halisi za kutwaliwa kwake, isipokuwa YEYE mwenyewe pekee, ndie Aliyetoa, kisha Akatwa, ila kuna watu, “Saw It Coming!“ wakasema, wakapuuzwa, as a result, Kaka akatwaliwa!.

Sasa hao watu wenye jicho hilo la tatu, wanaviona viashiria vya same same likely scenario na wanasema kwa nia njema na dhamira safi ya kumsaidia huyu Dada.

Dada yangu mpenzi, nakuomba sana, ukisikia kitu, sio lazima ukizingatie kila utakacho sikia, maana utasikia vingapi?, ila sikiliza kila utakacho sikia, na ukiisikia sauti kutoka ndani yako, the voices from within, ikimwambia kitu, aifanyie tathmini hiyo sauti kama ni sauti ya YEYE Mwenyewe, au ni yeye tuu!, ikitokea ni sauti kwake YEYE, then, usiipuuzie!.

Leo asubuhi nikiwa bafuni naoga ili kwenda kwenye shughuli zangu, nikaisikia sauti, voices from within, ikiniambia, ukisikia kitu, mwambie tuu Dada yako, kuna watu wamemzunguka, wakimwimbia nyimbo za sifa na mapambio, huku wana jicho la tatu, kuna vitu wanaviona, hawamwambiii, wameamua kunyamaza, hawasemi ila ukweli wanaujua, na wana uwezo wa kumsaidia kwa kumwambia ukweli, ila wanachelea labda Dada atakasirika.

Sauti hiyo imeniambia Dada akiambiwa, akisikiliza, itamsaidia, ila akisikia akapuuza, yule YEYE, anaweza kufanya jambo!.

Paskali
Kwa hakika kutwaliwq kwake kwaja mapema kuliko ilivyotabiriwa awali!
 
Huyo dada yako wamtwae tu nayeye ! Kwahiyo huo mji wenu si utakuwa wa kutwaliwa tu sasa? Nani atabaki? Vipi kuhisu mtwaaji! Kwanini msimtwae mapema kabla yakuwatwaa mji ukafa au dada yako amepumbazika nakelele za wala wali hapo kwake? Dada yako anafanya sana sherehe za ukoo mwambie apunguze wanaukoo amewabwetesha na yeye amebweteka.mimi nijirani yenu sipendi tabia za hapo kwenu.
 
Damu za watu hazitawaacha salama.

Ila mie naamini kifo cha mtu ni siku yake ya kufa imefika, mengine ni sababu tu, kama siku yake ya kufa bado atajikuta anasurvive katika hali ya kustajaabisha.

Cheki yule jamaa sativa alivyopona, ila ingekuwa siku yake imefika ingekuwa kama wengine.

Sio kwamba anko magu alipenda kuwa mwendazake hapana, ni muda wake ulitimia, na huyu dada yako muda wake ukiwadia hata alindwe na nini nae atakuwa mwendazake.
Cha kutegewa nacho ni siku imefika kutekwa n.k
 
Kama ni kweli hilo tukio litawezekana basi
huo utaratibu wa kutwaliana utakuwa ni mtindo endelevu!

Nini sasa kifanyike kuondoa huu utaratibu wa umwagaji damu kwa viongoz wetu waliolewa madaraka?
Tatizo ni damu wanazomwaga ovyo
 
Wanabodi,

Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina.

Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yangu, aliyetwaliwa. Japo hakuna binaadamu yeyote ajuaye sababu halisi za kutwaliwa kwake, isipokuwa YEYE mwenyewe pekee, ndie Aliyetoa, kisha Akatwa, ila kuna watu, “Saw It Coming!“ wakasema, wakapuuzwa, as a result, Kaka akatwaliwa!.

Sasa hao watu wenye jicho hilo la tatu, wanaviona viashiria vya same same likely scenario na wanasema kwa nia njema na dhamira safi ya kumsaidia huyu Dada.

Dada yangu mpenzi, nakuomba sana, ukisikia kitu, sio lazima ukizingatie kila utakacho sikia, maana utasikia vingapi?, ila sikiliza kila utakacho sikia, na ukiisikia sauti kutoka ndani yako, the voices from within, ikimwambia kitu, aifanyie tathmini hiyo sauti kama ni sauti ya YEYE Mwenyewe, au ni yeye tuu!, ikitokea ni sauti kwake YEYE, then, usiipuuzie!.

Leo asubuhi nikiwa bafuni naoga ili kwenda kwenye shughuli zangu, nikaisikia sauti, voices from within, ikiniambia, ukisikia kitu, mwambie tuu Dada yako, kuna watu wamemzunguka, wakimwimbia nyimbo za sifa na mapambio, huku wana jicho la tatu, kuna vitu wanaviona, hawamwambiii, wameamua kunyamaza, hawasemi ila ukweli wanaujua, na wana uwezo wa kumsaidia kwa kumwambia ukweli, ila wanachelea labda Dada atakasirika.

Sauti hiyo imeniambia Dada akiambiwa, akisikiliza, itamsaidia, ila akisikia akapuuza, yule YEYE, anaweza kufanya jambo!.

Paskali

Dada yako naona siku hizi anafanya ishara kama ya "Nitakupigia nitakupigia" means hataki kusikiliza.
 
mwambie tuu Dada yako, kuna watu wamemzunguka, wakimwimbia nyimbo za sifa na mapambio, huku wana jicho la tatu, kuna vitu wanaviona, hawamwambiii, wameamua kunyamaza, hawasemi ila ukweli wanaujua, na wana uwezo wa kumsaidia kwa kumwambia ukweli, ila wanachelea labda Dada atakasirika.

Tatizo dada huwa akiambiwa ukweli anakasirika na kusuta watu majukwaani...
 
Leta ushahidi acha porojo
Kwanza kabisa idadi ya wapiga kura ilikuwa ya kupika. Watanzania tupo 62m kwa mujibu wa sensa ya 2022. Ikasemekana waliojiandika kupiga kura ni 30m? Toka lini watu wazima idadi yao ikalingana na watu wazima? Niendelee au nikuache uchakate kwanza hiyo?
 
Kwaiyo hizo ni hisia zako binafsi kwani sensa ilifanyika lini na uchaguzi ulifanyika lini?
 
Naamini hakuna utakachokiona wewe kama third party yeye asikione na pengine unachokihofia pengine anakijua dhahiri kwa sababu hakuna lililotokea nyuma yeye asiwe na ufahamu nalo kama mtu mwenye nguvu aliyeketi katika meza ya maamuzi kwa muda mrefu pia.

Kuna mengi usioyajua, anayajua, kuna mengi anayopambana nayo, pengine huyajui.

Kwa hiyo picha unayoiona ndio uhalisia sahihi, aidha kama mtu ambaye ameshakubaliana na hali kwa sababu haikuwa dhamira yake kufika alipofika pasipo nguvu kubwa kumshikilia ama la ni sehemu ya mpango wake mkubwa zaidi kwa sababu pengine ana lengo tofauti na hicho kiti anachokikalia.

Kiufupi, acha wafu wazikane
Kwa bahati mbaya hujui kitu kinaitwa ulevi wa madaraka
 
Wanabodi,

Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina.

Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yangu, aliyetwaliwa. Japo hakuna binaadamu yeyote ajuaye sababu halisi za kutwaliwa kwake, isipokuwa YEYE mwenyewe pekee, ndie Aliyetoa, kisha Akatwa, ila kuna watu, “Saw It Coming!“ wakasema, wakapuuzwa, as a result, Kaka akatwaliwa!.

Sasa hao watu wenye jicho hilo la tatu, wanaviona viashiria vya same same likely scenario na wanasema kwa nia njema na dhamira safi ya kumsaidia huyu Dada.

Dada yangu mpenzi, nakuomba sana, ukisikia kitu, sio lazima ukizingatie kila utakacho sikia, maana utasikia vingapi?, ila sikiliza kila utakacho sikia, na ukiisikia sauti kutoka ndani yako, the voices from within, ikimwambia kitu, aifanyie tathmini hiyo sauti kama ni sauti ya YEYE Mwenyewe, au ni yeye tuu!, ikitokea ni sauti kwake YEYE, then, usiipuuzie!.

Leo asubuhi nikiwa bafuni naoga ili kwenda kwenye shughuli zangu, nikaisikia sauti, voices from within, ikiniambia, ukisikia kitu, mwambie tuu Dada yako, kuna watu wamemzunguka, wakimwimbia nyimbo za sifa na mapambio, huku wana jicho la tatu, kuna vitu wanaviona, hawamwambiii, wameamua kunyamaza, hawasemi ila ukweli wanaujua, na wana uwezo wa kumsaidia kwa kumwambia ukweli, ila wanachelea labda Dada atakasirika.

Sauti hiyo imeniambia Dada akiambiwa, akisikiliza, itamsaidia, ila akisikia akapuuza, yule YEYE, anaweza kufanya jambo!.

Paskali
Tatizo Dada mtu anajiona kama ndio "YULE YEYE"
 
Kwaiyo hizo ni hisia zako binafsi kwani sensa ilifanyika lini na uchaguzi ulifanyika lini?
Naona akili yako ni ndogo, sensa ilifanyika baada ya uchaguzi, kwa maana idadi ilipaswa kuwa ndogo zaidi. Nikusaidie kwa maneno marahisi ili uelewe, yaani kila watanzania wawili, mmoja alijiandikisha kupiga kura! Je ukweli huo unauona? Kama idadi ya wapiga kura ilipikwa, mqtokeao una uhakika gani yalikuwa halali?
 
Back
Top Bottom