900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
vita inambinu nyingiNaona umebadilisha magoli!
Kutoka bila tume huru hatushiriki uchaguzi hadi tunashiriki kwa sababu hizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vita inambinu nyingiNaona umebadilisha magoli!
Kutoka bila tume huru hatushiriki uchaguzi hadi tunashiriki kwa sababu hizi.
Tuombeane uzima.Binafsi naamini wapinzani, wakiwemo CHADEMA, wanaelewa vizuri sana kuwa kwa wao kutangazwa washindi katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu haitokuwa jambo jepesi na litakuwa ni jambo gumu kuliko ilivyowahi kuwa vigumu katika chaguzi zote zilizopita.
Hata hivyo,wataweka wagombea katika ngazi zote huku sababu kuu zinaweza kuwa ni hizi miongoni mwa nyinginezo:
1.Hii ni fursa kwao ya kufanya siasa
Wote tunajua kuwa awamu hii tangu iingie madarakani mwaka 2015, ilizuia mikutano ya vyama vya siasa kinyume na sheria huku CCM ikiendelea kufanya siasa pasipo kubughuziwa.Hivyo,wapinzani watatumia mikutano ya kampeni kuwaeleza wananchi yale waliokuwa wakitaka kuwaeleza kupitia majukwaa ya kisiasa tangu 2015 .
Bila kujali watatangzwa washindi au laa,kwao hii ni fursa ya kuwaeleza wananchi mapungufu ya CCM na serikali yake hii ya awamu ya tano chini ya Magufuli.Ni fursa ya kuwakumbusha na kuwaeleza wananchi juu ya matendo ya watu wasiojulikana kama kuteka,kuua,kupoteza watu,n.k.
Kampeni hizi pia ni fursa ya kuwaeleza na kuwakumbusha jnsi CCM na serikali yake ilivyoshindwa kutekeleza ahadi ya kutoa milioni 50 kwa kila kijiji,jinsi walivyotelekeza watumishi wa umma kwa miaka mitano pasipo nyongeza ya mishahahara kinyume na ahadi zao za kampeni,walivyoshindwa kuwalipa kwa wakati wakulima wa korosho, walivyo kuja na makato katikli ya bodi ya mikopo,n.k.
Kwa kifupi, hii ni fursa kwa wapinzania kueleza haya yote na mengineyo wakati wa kampeni bila kujali kuwa tume hii si huru na kwamba wasimamizi wa uchaguzi ni makada wa CCM lengo likiwa ni kutumia mikutano ya kampeni kufikisha ujumbe kwa wananchi,ujumbe ambao,kwa mikaka karibu mitano, Magu na serikali yake wamekuwa wakiuzuia usiwafikie wananchi kupitia majukwaa ya kisiasa
2.Kupata uhalali wa kuendelea kudai Tume Huru ya Uchaguzi
Yale yote yatakayotokea na ambayo yatakuwa ni kinyume cha sheria za nchi na sheria za uchaguzi,yatatoa fursa na uhalali wa kuendelea kuikataa tume hii iliopo pamoja na kuyapa nguvu madai ya kuwakata Wakurugenzi wa Halmashauri ambao baadhi yao kama sio wote wanaaminika kuwa ni makada wa CCM hivyo hawastahili kuwa wasimamizi wa uchaguzi.
3.Kutoa fursa kwa dunia kujionea aina za chaguzi tulizonazo katika nchi yetu
Wapinzani wanashiriki huku wakijua dunia itakuwa inatupia macho uchaguzi huu kupitia wawakilishi watakaotumwa kuja kutazama uchaguzi mbali na mataifa kama Marekani kutaka kuona kama ile kauli ya Magu kuwa uchaguzi utakuwa huru na haki inatimizwa kwa vitendo.Mauzauza yoyote yatakayotokea yatasaidi kuithibitishia dunia kuwa madai ya wapinzani kuhujumuwa katika hizi chaguzi huwa ni madai ya kweli.
4.Ni nafasi ya wapinzani kujipima ni kwa kiasi gani wanakubalika kwa wananchi
Kupitia mikutano ya kampeni,chama cha siasa kinapata fursa ya kujipima ni kwa kiasi gani baada ya miaka mitano kwisha chama husika kinakubalika kwa wananchi na zaidi ni kwa kiasi gani wagombea wake wanauzika hasa kwa nafasi ya mgombea uraisi.
5.Kupima kama siasa za hama hama zimekuwa na madhara kwao na kama zimesaidia chama tawala
Hii itakuwa ni fursa ya kuthibitisha madai kuwa siasa za hamahama zimeua upinzani na kuinufaisha CCM.
6.Kutotoa fursa kwa wagombea wa CCM kushinda bila jasho
Japo tunajua tume si huru huku baadhi ya wasimamizi wa uchaguzi wakitajwa kuwa ni makada wa CCM,bado si sahihi kuwaacha watangazwe washindi pasipo kupata joto la kwenye kampeni(lazima wahenye).
7.Inawezekana pia wapinzani wana sababu zao za kushiriki huu uchaguzi
Inawezekana kabisa wapinzani hawa teyari wana mipango yao ambayo ili itimie,ni lazima kwanza washiriki huu uchaguzi na kasoro zozote zitazojitokeza, ndio zitawapa uhalila wa kutekeleza mipango na mikakati yao ambayo mimi na wewe hatuijui.Kwahiyo huenda kushiriki kwao ni kama tu kuitega CCM na serikali yake,
Mwisho, ni lazima ieleweke kuwa kuiondoa CCM madarakani ni mchakato, na kushiriki uchaguzi ni sehemu tu ya mchakato husika bila kujali uchaguzi utakuwa huru na wa haki au vinginevyo.
Tunataka kuona umahiri wao wa kuiba kura halali,aibu inasuta hadi wanapata stress wakikumbuka muziki wa 2015.Inasadikika UKAWA kupitia Maalim walishinda ndipo Jecha akalazimishwa kupindua meza na yaliyofuatia kila mwenye akili zake anafahamu.Huku Tanganyika, Mh alisukumiziwa akapewa bila kutegemea na ndiyo sababu ya stress na visasi kwa waliomgaragaza na waliomnyima kura.Binafsi naamini wapinzani, wakiwemo CHADEMA, wanaelewa vizuri sana kuwa kwa wao kutangazwa washindi katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu haitokuwa jambo jepesi na litakuwa ni jambo gumu kuliko ilivyowahi kuwa vigumu katika chaguzi zote zilizopita.
Hata hivyo,wataweka wagombea katika ngazi zote huku sababu kuu zinaweza kuwa ni hizi miongoni mwa nyinginezo:
1.Hii ni fursa kwao ya kufanya siasa
Wote tunajua kuwa awamu hii tangu iingie madarakani mwaka 2015, ilizuia mikutano ya vyama vya siasa kinyume na sheria huku CCM ikiendelea kufanya siasa pasipo kubughuziwa.Hivyo,wapinzani watatumia mikutano ya kampeni kuwaeleza wananchi yale waliokuwa wakitaka kuwaeleza kupitia majukwaa ya kisiasa tangu 2015 .
Bila kujali watatangzwa washindi au laa,kwao hii ni fursa ya kuwaeleza wananchi mapungufu ya CCM na serikali yake hii ya awamu ya tano chini ya Magufuli.Ni fursa ya kuwakumbusha na kuwaeleza wananchi juu ya matendo ya watu wasiojulikana kama kuteka,kuua,kupoteza watu,n.k.
Kampeni hizi pia ni fursa ya kuwaeleza na kuwakumbusha jnsi CCM na serikali yake ilivyoshindwa kutekeleza ahadi ya kutoa milioni 50 kwa kila kijiji,jinsi walivyotelekeza watumishi wa umma kwa miaka mitano pasipo nyongeza ya mishahahara kinyume na ahadi zao za kampeni,walivyoshindwa kuwalipa kwa wakati wakulima wa korosho, walivyo kuja na makato katikli ya bodi ya mikopo,n.k.
Kwa kifupi, hii ni fursa kwa wapinzania kueleza haya yote na mengineyo wakati wa kampeni bila kujali kuwa tume hii si huru na kwamba wasimamizi wa uchaguzi ni makada wa CCM lengo likiwa ni kutumia mikutano ya kampeni kufikisha ujumbe kwa wananchi,ujumbe ambao,kwa mikaka karibu mitano, Magu na serikali yake wamekuwa wakiuzuia usiwafikie wananchi kupitia majukwaa ya kisiasa
2.Kupata uhalali wa kuendelea kudai Tume Huru ya Uchaguzi
Yale yote yatakayotokea na ambayo yatakuwa ni kinyume cha sheria za nchi na sheria za uchaguzi,yatatoa fursa na uhalali wa kuendelea kuikataa tume hii iliopo pamoja na kuyapa nguvu madai ya kuwakata Wakurugenzi wa Halmashauri ambao baadhi yao kama sio wote wanaaminika kuwa ni makada wa CCM hivyo hawastahili kuwa wasimamizi wa uchaguzi.
3.Kutoa fursa kwa dunia kujionea aina za chaguzi tulizonazo katika nchi yetu
Wapinzani wanashiriki huku wakijua dunia itakuwa inatupia macho uchaguzi huu kupitia wawakilishi watakaotumwa kuja kutazama uchaguzi mbali na mataifa kama Marekani kutaka kuona kama ile kauli ya Magu kuwa uchaguzi utakuwa huru na haki inatimizwa kwa vitendo.Mauzauza yoyote yatakayotokea yatasaidi kuithibitishia dunia kuwa madai ya wapinzani kuhujumuwa katika hizi chaguzi huwa ni madai ya kweli.
4.Ni nafasi ya wapinzani kujipima ni kwa kiasi gani wanakubalika kwa wananchi
Kupitia mikutano ya kampeni,chama cha siasa kinapata fursa ya kujipima ni kwa kiasi gani baada ya miaka mitano kwisha chama husika kinakubalika kwa wananchi na zaidi ni kwa kiasi gani wagombea wake wanauzika hasa kwa nafasi ya mgombea uraisi.
5.Kupima kama siasa za hama hama zimekuwa na madhara kwao na kama zimesaidia chama tawala
Hii itakuwa ni fursa ya kuthibitisha madai kuwa siasa za hamahama zimeua upinzani na kuinufaisha CCM.
6.Kutotoa fursa kwa wagombea wa CCM kushinda bila jasho
Japo tunajua tume si huru huku baadhi ya wasimamizi wa uchaguzi wakitajwa kuwa ni makada wa CCM,bado si sahihi kuwaacha watangazwe washindi pasipo kupata joto la kwenye kampeni(lazima wahenye).
7.Inawezekana pia wapinzani wana sababu zao za kushiriki huu uchaguzi
Inawezekana kabisa wapinzani hawa teyari wana mipango yao ambayo ili itimie,ni lazima kwanza washiriki huu uchaguzi na kasoro zozote zitazojitokeza, ndio zitawapa uhalila wa kutekeleza mipango na mikakati yao ambayo mimi na wewe hatuijui.Kwahiyo huenda kushiriki kwao ni kama tu kuitega CCM na serikali yake,
Mwisho, ni lazima ieleweke kuwa kuiondoa CCM madarakani ni mchakato, na kushiriki uchaguzi ni sehemu tu ya mchakato husika bila kujali uchaguzi utakuwa huru na wa haki au vinginevyo.
Tuwalinde,hatutaki kufundishwa namna ya kuongea katika majukwaa ya siasa/kampeni.Katika kutafuta ushindi lazima kila mshindani atatafuta madhaifu na upungufu wa mshindani wake.Uwekwe utaratibu wa kampeni ziwe free style, Wananchi ndiyo wachambuzi na waamuzi wa zipi pumba na UPI mchele na waachwe wachague kwa Uhuru.Wananchi wengi tutapenda kuona mikutano isiyo na figisu yenye usawa kwa vyama vyote ila wasiwasi una kuja he,polisi hawatawashusha wapizani majukwaani kwa kisingizio Cha uchochezi?
Mkuu nimekielewa Sana 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏Tuwalinde,hatutaki kufundishwa namna ya kuongea katika majukwaa ya siasa/kampeni.Katika kutafuta ushindi lazima kila mshindani atatafuta madhaifu na upungufu wa mshindani wake.Uwekwe utaratibu wa kampeni ziwe free style, Wananchi ndiyo wachambuzi na waamuzi wa zipi pumba na UPI mchele na waachwe wachague kwa Uhuru.