Uchaguzi 2020 Japo hatuna Tume Huru, CHADEMA watasimamisha wagombea katika ngazi zote akiwemo mgombea urais kwa sababu hizi miongoni mwa nyingine

Tuombeane uzima.
 
Wataiba kura z Tunataka kuona umahiri wao wa kuiba kura halali,aibu inasuta hadi wanapata stress wakikumbuka muziki wa 2015.Inasadikika UKAWA kupitia Maalim walishinda ndipo Jecha akalazimishwa kupindua meza na yaliyofuatia kila mwenye akili zake anafahamu.Huku Tanganyika, Mh alisukumiziwa akapewa bila kutegemea na ndiyo sababu ya stress na visasi kwa waliomgaragaza na waliomnyima kura.
Tupo wengi kwenye orodha ndefu ya wanaotarajiwa kushughulikiwa na wasiojulikana na mazombie kufanikisha uporaji ujao.Yatupasa kusema ukweli na kuwaelimisha Watanzania wenzetu ujasiri wa kuwakataa wakoloni weusi.
Tukiamua tunaweza,hawana uwezo wa kupambana na nguvu ya umma.
 
Wananchi wengi tutapenda kuona mikutano isiyo na figisu yenye usawa kwa vyama vyote ila wasiwasi una kuja he,polisi hawatawashusha wapizani majukwaani kwa kisingizio Cha uchochezi?
Tuwalinde,hatutaki kufundishwa namna ya kuongea katika majukwaa ya siasa/kampeni.Katika kutafuta ushindi lazima kila mshindani atatafuta madhaifu na upungufu wa mshindani wake.Uwekwe utaratibu wa kampeni ziwe free style, Wananchi ndiyo wachambuzi na waamuzi wa zipi pumba na UPI mchele na waachwe wachague kwa Uhuru.
 
Mkuu nimekielewa Sana ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ™
 
Kuna mwanafalsafa mmoja anasema"Dawaamul haal minalmuhaal "kila kitu kinawezekana,na kuna wakati upepo hubadilika na kuvuma bla kutarajia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ