Elections 2010 Japo inauma, Kizuri mshirikishe na mwenzio!

Omutwale

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2008
Posts
1,429
Reaction score
1,047
Pakua ujionee na kisha nakuomba mpelekee na mwenzio kwa njia ya barua pepe. Na ukiweza print A4 ubandike ukutani dukani, mtaani na popote waliko WADANGANYIKA.

Salaamu zangu kwenu............
 
Ahsante mkuu inasikitisha jinsi tunavyokuwa na matabaka ya walionacho kwa kupindukia
 
dah! nimeona hii kadhia. halafu hawa mafukara (wadanganyika) bado wanamsujudia
 
Hii nchi nyie achine tu, hizi majuzi kulikuwa na arusi ya mtoto wa mtawala mmoja... matusi yaliyokuwepo usiseme kabisa. Budget ya shughuli yenyewe ilikuwa kati ya 350-400mil , ukijumlisha zawadi za maharusi ambazo ni pamoja na magari ya kifahari kila mmoja bibi/bw harusi, nyumba ya kifahari, honey moon, kianzio... na fyakula na finywaji.

Wakati huo huo akina mama wajawazito mwananyamala hospital wakilala chini na vichanga vyao
 
Dah nchi inaliwa na wenye meno inajengwa na wenye moyo!!!!:A S 112:
 
usanii mptupu. mbona huonyeshi yaliyofanyika?

Kuna tofauti kati ya fashion na maendeleo. Na pia kuna tofauti kubwa kati ya kuleta maendeleo na mabadiliko kutokana na msukumo wa wakati. Ni somo gumu na tafsiri yake pia ni ngumu lakini ukijipa nafasi unaweza kuelewa. Lakini hata hivyo wewe unayeyaona unayonafasi ya kutushirikisha tusioyaona.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…