Hii nchi nyie achine tu, hizi majuzi kulikuwa na arusi ya mtoto wa mtawala mmoja... matusi yaliyokuwepo usiseme kabisa. Budget ya shughuli yenyewe ilikuwa kati ya 350-400mil , ukijumlisha zawadi za maharusi ambazo ni pamoja na magari ya kifahari kila mmoja bibi/bw harusi, nyumba ya kifahari, honey moon, kianzio... na fyakula na finywaji.
Wakati huo huo akina mama wajawazito mwananyamala hospital wakilala chini na vichanga vyao