The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Muhoozi, kama baba yake, anajidanganya. Ilikuwapo mifumo kama hii huko Zaire, Rwanda, Malawi na kwingineko. Mwisho wake ulipofika, imebakia marejeo ya kihistoria kwenye taaluma.Sio kirahisi kuuondoa mfumo (system). Umemsikia mtoto wake alivyomwambia bobiwine kwamba hata ikitokea M17 akavuta ajiandae kupambana na yeye!! Kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake Africa ni shithole! Pathetic
Ni picha poa sana hiyo inayomuonyesha M7 wa kweli na alivyopigika.Ila hiyo picha 😂😂
Hiii Ina uhalisia zaidiNi picha poa sana hiyo inayomuonyesha M7 wa kweli na alivyopigika.
ushawahi kuona m7 anafanya siasa chafu?Sio kirahisi kuuondoa mfumo (system). Umemsikia mtoto wake alivyomwambia bobiwine kwamba hata ikitokea M17 akavuta ajiandae kupambana na yeye!! Kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake Africa ni shithole! Pathetic
mfumo upi uliobadilika pale rwanda au unaongelea ile massacre iliyomuweka madarakani Mr PK? Since Mobutu mpaka Assasnation of Lumumba mpaka leo yupo dereva tax Tshekedi mfumo upi uliobadilika mabepari yanajichotea rasilimali congo nzima na kwingineko. Uelewe mkuu Dunia inavyoendeshwa huku kwenye dunia ya tatu(afrika) marais wanawekwa kwa maslahi ya wakubwa sio wananchi labda uwe dumped everything is business CAPITALISM!Muhoozi, kama baba yake, anajidanganya. Ilikuwapo mifumo kama hii huko Zaire, Rwanda, Malawi na kwingineko. Mwisho wake ulipofika, imebakia marejeo ya kihistoria kwenye taaluma.
Unanipima Imani yangu nini mkuu? Nimecheka Unasemaje?ushawahi kuona m7 anafanya siasa chafu?
nasema tutafanya maasiUnanipima Imani yangu nini mkuu? Nimecheka Unasemaje?