Imalamawazo
JF-Expert Member
- Jul 27, 2021
- 1,343
- 3,269
Kwa wadau wa Sports Marketing, mnaonaje tangazo la mdhamini wa ligi kuu (NBC Bank)?
Kwa maoni yangu, tangazo la mdhamini wetu wa ligi kuu (NBC Bank) ni zuri lakini haliwatangazi. Tangazo lao, haliwatangazi bali linaonesha tu kuwa nao bado wapo.
Segement ya huduma zao ipo kama haipo. Mpaka ligi inaisha wataishia kumtangaza golikipa mdaka mishale tu. Lakini hawajachelewa, watumie muda uliosalia kubadili tangazo lao ili wanufaike na udhamini huo wa ligi kuu.
Wasalaamu